Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
- Thread starter
-
- #41
Unadhani kwa nini Trump ameungwa mkono? Kuna uharibifu mkubwa sana kwa jamii kupitia hiyo Gay flagKu remove gay flags huku una elect hao hao kwenye team yako ya uongozi ni upumbavu.
Enjoy the sport, mengine waachie wao, ww ukikaa unauliza kichwa tandale kwa tumbo ukidhani watatimiza matakwa yako basi unapoteza muda
Tukisema Duniani, wanadamu hawana dhambi na hakuna Amri za dhambi, ukiondoa. Amri ni moja tu Upendo. Pendaneni, ondoeni ujinga wa kuendelea na life style ya mababu fulani. Mungu hajawahi kanyaga chini.Tatizo tukiwaambia achaneni na mipira ni dhambi mnatuona wajinga
DuhHawajaanza leo, misimu kama mitatu iliyopita, kule kwa ni rules, hata kama wengi wa wachezaji hawa support ila inawabidi
Kumbe yamejaa humu aisee. 🙆Naona Mashoga wameamua kumtolea povu mleta mada!
Unafikiri hao LGBTQ ni wajinga kulipa mamilioni ya Dollar kutangaza huo upuuzi kwa kupitia mpira kama haina impact yeyote?You see shida ndio hiko apo just because naupenda mpira, nashabikia mpira haimaanishi na support hayo mambo
Wachezaji wengi epl hawa support hayo but regulation ikiwabana hawawez acha kucheza mpira, hawa end career zao sababu wamevaa kijitambaa fulani
Watu wanashabikia mpira si kitambaa fulani kisicho saidia chochote uwanjani.
Ulikuwa wapi misimu mitatu iliyopita walipoanza kuvaa hivi?
kosa la epl ni lipi kuwaheshimu mashoga au kukulazimisha uwe shoga ? swala la ushoga ni hiari kam ilivyo hiari kuoa mwanamke wa imani au kabila lolote , so kikubwa jitunz tu wahuni wasikipasue kijambio hikoTuige mfano wa Donald Trump. Amepiga biashara ya ushoga kufundishwa mashuleni kwa kuwapa sapoti Mashoga.
Huu ni upuuuzi
View attachment 3166803
Bila shaka we ni shogaMjinga mmoja anadhani anayo haki katika maisha haya kisa anapewa taarifa za mitandaoni kisha anahisi kuwa yeey ni mjanja kuliko binadamu wote wanaoishi duniani.
Akili kama hizi za kipuuzi zimejaa bongo, kudhani kuwa tunajua kila kitu kumbe ni mamburula tu.Bila shaka we ni shoga
Tuache kuangalia mpira kisa majukwaa ya Uingereza yamejaa mashoga?.Unafikiri hao LGBTQ ni wajinga kulipa mamilioni ya Dollar kutangaza huo upuuzi kwa kupitia mpira kama haina impact yeyote?
Unafikiri ni kwanini matangazo ya Sigara yanapigwa marufuku? ndio maana matangazo ya sigara kama Marlboro yalipigwa marufuku kwenye Formula 1? kwanini wasiwaze kama wewe tu kua Angalia tu mashindano ya Magari,hayo mengine hayana impact?
Kuna athari kubwa sana kutangaza huo ushoga kuliko unavyofikiria,LGBTQ sio wajinga kumwaga hela zote hizo,
Mleta mada yupo sahihi kabisa.
Akili ndogo za kijinga zinapojiona ni akili kubwa.We shoga acha upuuzi
Soma tena comment yangu uielewe.Tuache kuangalia mpira kisa majukwaa ya Uingereza yamejaa mashoga?.
Hao hao mashoga wanatupa mabilioni ya pesa kwa ajili ya kuifadhili miradi yetu mikubwa, mbona hatuzikatai hizo pesa?.
Wateja wakubwa wa ile shughuli ya Arusha ya ma-landrover ni wazungu ambao wana ushoga mwingi miongoni mwao, na hiyo ni moja tu ya namna tulivyozungukwa na ushoga kwa maana kwamba pato letu lina muingiliano nao.
Hata wanaokaa majukwaani na kuonyeshwa na kamera za TV wanautangaza ushoga pia.Soma tena comment yangu uielewe.
Nimeelezea athari za kuitangaza na kuipromote LGBTQ
Papa alisema wabarikiwe.Hata wanaokaa majukwaani na kuonyeshwa na kamera za TV wanautangaza ushoga pia.
Papa wa sasa alisema tuwe tunaiombea dunia na matatizo inayoyapitia kila tunapoongea na Mungu kwa njia ya imani.