choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Alisikika alinacha akiwa ndotoniNi mechi ya 3 tuu lakini tayari Man City ni bingwa na Halaand kashachukua kiatu
Hii ligi Pep kashaigeuza farmer league kama bundesliga na league 1,
Hii ligi itakua na ushindani endapo Pep ataamua kuondoka
Kila mwaka mnasema muda muda, ila muda ukifika always Man Citymuda bado upo
Fergie alishatetemeshwa fainali mbili za CL na Pep, hilo halina mjadalac mlsema pep co kocha? akja epl atafel? acha inyeshe... Ad mseme ukwel kat yke & Ferguson nan n bora...
Man City kacheza na Ipswich Town, vibonde Chelsea , na Westham United tayari ligi imekwisha? Please. This is a marathon not a sprint bro.Ni mechi ya 3 tu lakini tayari Man City ni bingwa na Halaand kashachukua kiatu
Hii ligi Pep kashaigeuza farmer league kama bundesliga na league 1,
Hii ligi itakua na ushindani endapo Pep ataamua kuondoka
Wewe umemdeclare mtu bigwa baada ya mechi 3 ndo uchambuzi gani huo mzeeKila mwaka mnasema muda muda, ila muda ukifika always Man City
Hiyo fixture wangeanza nayo Arsenal, Liverpool nk hakika wasingevuna point 9 hapoMan City kacheza na Ipswich Town, vibonde Chelsea , na Westham United tayari ligi imekwisha? Please. This is a marathon not a sprint bro.
Cosistency ya City siyo ya mchezo mchezoWewe umemdeclare mtu bigwa baada ya mechi 3 ndo uchambuzi gani huo mzee
sikatai, ila kufungua uzi na kumpa mtu ubingwa baada ya mechi 3 we inaingia akilini mkuuCosistency ya City siyo ya mchezo mchezo