Ligi ya Uingereza sasa ni kama Bundesliga

Ligi ya Uingereza sasa ni kama Bundesliga

Ni mechi ya 3 tu lakini tayari Man City ni bingwa na Halaand kashachukua kiatu

Hii ligi Pep kashaigeuza farmer league kama bundesliga na league 1,

Hii ligi itakuwa na ushindani endapo Pep ataamua kuondoka
Mapema mno kufanya conclusions.

Misimu miwili au mitatu iliyopita ilikuwa na matokeo kama haya na mwisho wa msimu yakawa hivyohivyo?
 
Wanaobisha ni washabiki wa Arsenal wa generation Z ambao hawajawahi shuhudia Arsenal ikichukua ubingwa wa Epl.

Pale England Pep anaenda kufuta rekodi zote zilizowekwa na Sir Alex Ferguson.

Ikumbukwe mwezi December mwaka huu Pep anaongeza kandarasi mpya ya kuendelea kuinoa the Citizens, hivyo sisi washabiki wa Chelsea, Man u, Liver na Arsenal tujiandae kwa maumivu misimu kadhaa mbele.

cc
choza choza
Akifuta za Ferguson nitafurahi sana.
 
Mapema mno kufanya conclusions.

Misimu miwili au mitatu iliyopita ilikuwa na matokeo kama haya na mwisho wa msimu yakawa hivyohivyo?
Sasa ndugu kama misimu iliyoita alianza vibaya na akawa bingwa, sasa huu alioanza kwa kasi si ataua watu
 
Back
Top Bottom