Ligi ya Uingereza sasa ni kama Bundesliga

Ligi ya Uingereza sasa ni kama Bundesliga

Mchambuzi rudi basi utetee mada yako.Alitawala Ferguson na utawala ukaisha.Mpira haupo hivyo unavyofikiri wewe.
Shabiki maandazi tu ndio atashindwa kuheshimu mpira.
 
Iv ndugu mchambuzi bado ameshikilia Bomba kwa utabiri wake wa awali au tumpe muda akanushe!
 
Bado ni mapema sana, Man City is always Man City

Wanaweza ibuka from no where

Japo nafasi kwa Liverpool sasa ni 50%
City maimu huu wamekuwa exposed, kwenye epl team ikishakuwa expose ni no more

Epl ni ligi ambayo team pinzani zina adopt, mwanzoni city aliwakimbiza, now hizo team zime adopt, wanajua how and when kumpiga city. Labda city waje na mbinu nyingine

Until then kwa msimu huu they are done
 
Mambo yalikwisha badirika sasa hivi Chelsea anatafuta ubingwa ,Man City anatafuta Big 4 .

Chelsea hatuhitaji ubingwa msimu huu by Maresca.
 
Ni mechi ya 3 tu lakini tayari Man City ni bingwa na Halaand kashachukua kiatu

Hii ligi Pep kashaigeuza farmer league kama bundesliga na league 1,

Hii ligi itakuwa na ushindani endapo Pep ataamua kuondoka
Asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom