RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Pep atamkimbia Arne slot!Ni mechi ya 3 tu lakini tayari Man City ni bingwa na Halaand kashachukua kiatu
Hii ligi Pep kashaigeuza farmer league kama bundesliga na league 1,
Hii ligi itakuwa na ushindani endapo Pep ataamua kuondoka