Ligi ya Uingereza sasa ni kama Bundesliga

Ni mechi ya 3 tu lakini tayari Man City ni bingwa na Halaand kashachukua kiatu

Hii ligi Pep kashaigeuza farmer league kama bundesliga na league 1,

Hii ligi itakuwa na ushindani endapo Pep ataamua kuondoka
Mapema mno kufanya conclusions.

Misimu miwili au mitatu iliyopita ilikuwa na matokeo kama haya na mwisho wa msimu yakawa hivyohivyo?
 
Akifuta za Ferguson nitafurahi sana.
 
Yaani Tanzania ujuaji sana

Sijaskia huko uingereza mchambuzi hata mmoja aseme hivyo ila sasa huku wamatumbi ndio tayari mshatabiri
Bongo mpo unique sana, msimu ulioisha kulikuwa na ile michuano ilianzia hatua ya Penalt kule Zanzibar mnaiita eti ni michuano ya muungano
 
Mapema mno kufanya conclusions.

Misimu miwili au mitatu iliyopita ilikuwa na matokeo kama haya na mwisho wa msimu yakawa hivyohivyo?
Sasa ndugu kama misimu iliyoita alianza vibaya na akawa bingwa, sasa huu alioanza kwa kasi si ataua watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…