Ligi ya Uingereza sasa ni kama Bundesliga

Iwapo huyo mchezaji wake kazeeka na hajapata wengine
Pep hajawahi kupata shida kureplace mchezaji

Aliondoka Yaya lakini wapi

Akaondoka beki kisiki kabisa kompany tukasema City imekwisha lakini wapi


Tukasema injini ni fernadinho, akasepa ghafla kaibuka Rodri

KDB alikaa majeruhi karibu nusu msimu ila ka Foden kakaipa City ubingwa

Akaondoka Kun Aguero, mara limekuja jini Halaand
 
Sio kwa timu kama City, kuna kipindi Pep alicheza bila typical 9. Bado akabeba ligi
Upana wa kikosi, kikosi kilicho benchi ni bora kuliko kikosi cha timu anayoshindana nayo kubeba ubingwa,kuna siku alisema huwezi shinda epl bila kuwa na wachezaji alokua nao
 
Hii city mmeshailoga
 
DON'T SAY ANYTHING PREDICTABLE ABOUT FOOTBALL BECAUSE FOOTBALL IS UNPREDICTABLE.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…