Ligi yetu imeshuka sana kiwango

Ligi yetu imeshuka sana kiwango

Kwa uongo wako mwanaume mwenzangu kwamba jana Uganda wangefungwa na taifa stars ndo ligue ingekuwa imepanda?
 
Kufungwa kwa timu ya ligi nbc inahusikaje? Mi nadhani ligue yetu imekuwa sana na inakua sana vigezo vingi mfano uwekezaji wa timu
Uwekezaji wa wadhamini ambapo wameongezek zaid
Sajir za kimataifa
Nmezungumzia ubora wa lig na si kukua kwa lig,Soma uz vzr mkuu haraf ndo ucomment
 
Back
Top Bottom