TFF ni shida halafu wana pamba nzuri za kuweka masikioni ili wasisikie ushauriSimba imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukut yoyote mbele ya TFF.
Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.
TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui
mpaka ligi inaisha hao wengine Simba haita cheza nao?Simba imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.
Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.
TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui
Wanadhani watanzania ni wajinga sana, hawana aibu hata kidogo. Ukitaka kumsadia mwanao akae vizuri mkanye na kumpa adhabu nyingi halali kuliko wale watoto usiowapenda. Yanga hii imekaa vizuri kwasababu ya kupewa adhamu nyingi sana na TFF kuliko Simba.TFF ni shida halafu wana pamba nzuri za kuweka masikioni ili wasisikie ushauri
Wanadhani watanzania ni wajinga sana, hawana aibu hata kidogo. Ukitaka kumsadia mwanao akae vizuri mkanye na kumpa adhabu nyingi halali kuliko wale watoto usiowapenda. Yanga hii imekaa vizuri kwasababu ya kupewa adhamu nyingi sana na TFF kuliko Simba.
Kwahiyo kwa mtazamo wako, Tabora na hao bubujikò hawakupaswa kuwa kwenye ratiba ya msimu hadi wakae sawa? Au bodi ya ligi inaundwa na viongozi wa simba pekee?Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.
Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.
TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui.
Soma Pia: TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka
Mmeanza kuleta visingizio vyenu..mbona mapemaSimba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.
Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.
TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui.
Soma Pia: TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka
Ndiyo, kumbe wanapendeleaWanadhani watanzania ni wajinga sana, hawana aibu hata kidogo. Ukitaka kumsadia mwanao akae vizuri mkanye na kumpa adhabu nyingi halali kuliko wale watoto usiowapenda. Yanga hii imekaa vizuri kwasababu ya kupewa adhamu nyingi sana na TFF kuliko Simba.
Watacheza nao wakati tayari matatizo yakiwa yameshatatuliwa.mpaka ligi inaisha hao wengine Simba haita cheza nao?
Imeshacheza na Tabora United yenye wachezaji muhimu wasioweza kucheza mechi ile ikashinda 3-0 ikawa kicheko na nderemo eti wanaongoza ligi. Kituo kilichokuwa kinafuata ni kucheza na Fountain gates ambayo imezuiliwa na FIFA kusajili kutoka na deni la mbrazil Rodrigo, hivyo ingecheza na wachezaji wa kuungaunga na wasiokuwa na muunganiko ili kuipatia tena pts 3 na muunganiko. Tabia hii iliisaidia Azam na Fei toto kuifunga magoli mengi Tabora United iliyocheza n awachezaji 7 uwanjani bila kuwa na wachezaji wa akiba na kumsaidia Azam kupata pts 3 zilizosababisha kushika nafasi ya pili kwenye ligi hali iliyoigharimu Simba kwenye msimamo wa ligi, na Fei TOTO kufunga magoli 3 ya haramu yaliyosababisha awe na magoli 19 ya kufunga. Isingekuwa hii mechi ambayo Azam walipata pts 3 na magoli mengi huenda Simba ndiye aliyekuwa anashiriki CAF champions badala ya Azam fc.Watacheza nao wakati tayari matatizo yakiwa yameshatatuliwa.
Kwa hiyo malalamiko yako ni Simba kupata muunganiko? Unapendekeza hao Tabora United na Fountain Gate walitakiwa wacheze na nani wakati huu ligi inapokuwa imeanza? Au TFF iwasubiri hadi wamalize usajili, waanzie raundi ya tano watakapokuwa tayari?Walidhamilia Tabora na Fountain ziwe kama punching bags (pre-season matches) kwa simba kutafuta muunganiko kabla ya kukutana na timu imara.
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sanaKwa hiyo malalamiko yako ni Simba kupata muunganiko? Unapendekeza hao Tabora United na Fountain Gate walitakiwa wacheze na nani wakati huu ligi inapokuwa imeanza? Au TFF iwasubiri hadi wamalize usajili, waanzie raundi ya tano watakapokuwa tayari?
Aibu sana hii TifuaTifua ya Karai.Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.