Ligi yetu inazidi kukuwa ila TFF inashuka, naona inaisaidia Simba SC

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.

Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.

TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui.

Soma Pia: TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka
 
Simba imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukut yoyote mbele ya TFF.

Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.

TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui
TFF ni shida halafu wana pamba nzuri za kuweka masikioni ili wasisikie ushauri
 
Simba imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.

Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.

TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui
mpaka ligi inaisha hao wengine Simba haita cheza nao?
 
TFF ni shida halafu wana pamba nzuri za kuweka masikioni ili wasisikie ushauri
Wanadhani watanzania ni wajinga sana, hawana aibu hata kidogo. Ukitaka kumsadia mwanao akae vizuri mkanye na kumpa adhabu nyingi halali kuliko wale watoto usiowapenda. Yanga hii imekaa vizuri kwasababu ya kupewa adhamu nyingi sana na TFF kuliko Simba.
 
Wanadhani watanzania ni wajinga sana, hawana aibu hata kidogo. Ukitaka kumsadia mwanao akae vizuri mkanye na kumpa adhabu nyingi halali kuliko wale watoto usiowapenda. Yanga hii imekaa vizuri kwasababu ya kupewa adhamu nyingi sana na TFF kuliko Simba.
 
mpaka ligi inaisha hao wengine Simba haita cheza nao?
Mtengeneza ratiba anatarajia kuwa baada ya mechi za Tabora na Singinda zenye wachezaji pungufu basi Simba itakuwa imeimarika kumudu kucheza na timu kamili.
 
Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.

Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.

TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui.

Soma Pia: TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka
Kwahiyo kwa mtazamo wako, Tabora na hao bubujikò hawakupaswa kuwa kwenye ratiba ya msimu hadi wakae sawa? Au bodi ya ligi inaundwa na viongozi wa simba pekee?
 
Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.

Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.

TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui.

Soma Pia: TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka
Mmeanza kuleta visingizio vyenu..mbona mapema
 
Wanadhani watanzania ni wajinga sana, hawana aibu hata kidogo. Ukitaka kumsadia mwanao akae vizuri mkanye na kumpa adhabu nyingi halali kuliko wale watoto usiowapenda. Yanga hii imekaa vizuri kwasababu ya kupewa adhamu nyingi sana na TFF kuliko Simba.
Ndiyo, kumbe wanapendelea
 
Watacheza nao wakati tayari matatizo yakiwa yameshatatuliwa.
Imeshacheza na Tabora United yenye wachezaji muhimu wasioweza kucheza mechi ile ikashinda 3-0 ikawa kicheko na nderemo eti wanaongoza ligi. Kituo kilichokuwa kinafuata ni kucheza na Fountain gates ambayo imezuiliwa na FIFA kusajili kutoka na deni la mbrazil Rodrigo, hivyo ingecheza na wachezaji wa kuungaunga na wasiokuwa na muunganiko ili kuipatia tena pts 3 na muunganiko. Tabia hii iliisaidia Azam na Fei toto kuifunga magoli mengi Tabora United iliyocheza n awachezaji 7 uwanjani bila kuwa na wachezaji wa akiba na kumsaidia Azam kupata pts 3 zilizosababisha kushika nafasi ya pili kwenye ligi hali iliyoigharimu Simba kwenye msimamo wa ligi, na Fei TOTO kufunga magoli 3 ya haramu yaliyosababisha awe na magoli 19 ya kufunga. Isingekuwa hii mechi ambayo Azam walipata pts 3 na magoli mengi huenda Simba ndiye aliyekuwa anashiriki CAF champions badala ya Azam fc.
 
Walidhamilia Tabora na Fountain ziwe kama punching bags (pre-season matches) kwa simba kutafuta muunganiko kabla ya kukutana na timu imara.
Kwa hiyo malalamiko yako ni Simba kupata muunganiko? Unapendekeza hao Tabora United na Fountain Gate walitakiwa wacheze na nani wakati huu ligi inapokuwa imeanza? Au TFF iwasubiri hadi wamalize usajili, waanzie raundi ya tano watakapokuwa tayari?
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.

Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.

TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui.

Soma Pia: TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka
Aibu sana hii TifuaTifua ya Karai.
 
Back
Top Bottom