kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.
Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua matatizo yao ya usajili ili Simba ipate ahueni.
TFF hamuoni aibu, ligi inakuwa lakini TFF haikui.
Soma Pia: TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka