Tabora na Fountain kucheza na Simba kipindi hiki cha matatizo yao sio tatizo, lakini Simba kucheza na Tabora na Fountain zenye matatizo kwenye mechi zake 2 za kwanza mfululizo ni tatizo, sio bahati mbaya tu (chance) hata mwenye D moja tu unajua. Bahati mbaya ni simba yenye kama vile imebemendwa, hata isaidiwe vipi haitengemai.Kwa hiyo malalamiko yako ni Simba kupata muunganiko? Unapendekeza hao Tabora United na Fountain Gate walitakiwa wacheze na nani wakati huu ligi inapokuwa imeanza? Au TFF iwasubiri hadi wamalize usajili, waanzie raundi ya tano watakapokuwa tayari?
Simba inatafutiwa mechi za pre-season kwenye ligi.Kwa hiyo malalamiko yako ni Simba kupata muunganiko? Unapendekeza hao Tabora United na Fountain Gate walitakiwa wacheze na nani wakati huu ligi inapokuwa imeanza? Au TFF iwasubiri hadi wamalize usajili, waanzie raundi ya tano watakapokuwa tayari?
Kwahiyo fair play ilipaswa kuwa vipi? Je ligi ingesogezwa mbele kusubiri tabora na fountain wakamilishe usajiri? Au tabora wameanza kucheza na fountain kwa kuwa zote hazikukamilisha usajiri? Au tabora na fountain wangeachwa vuporo mpaka wakamilishe usajiri? Utopolo hamjielewi kabisaImeshacheza na Tabora United yenye wachezaji muhimu wasioweza kucheza mechi ile ikashinda 3-0 ikawa kicheko na nderemo eti wanaongoza ligi. Kituo kilichokuwa kinafuata ni kucheza na Fountain gates ambayo imezuiliwa na FIFA kusajili kutoka na deni la mbrazil Rodrigo, hivyo ingecheza na wachezaji wa kuungaunga na wasiokuwa na muunganiko ili kuipatia tena pts 3 na muunganiko. Tabia hii iliisaidia Azam na Fei toto kuifunga magoli mengi Tabora United iliyocheza n awachezaji 7 uwanjani bila kuwa na wachezaji wa akiba na kumsaidia Azam kupata pts 3 zilizosababisha kushika nafasi ya pili kwenye ligi hali iliyoigharimu Simba kwenye msimamo wa ligi, na Fei TOTO kufunga magoli 3 ya haramu yaliyosababisha awe na magoli 19 ya kufunga. Isingekuwa hii mechi ambayo Azam walipata pts 3 na magoli mengi huenda Simba ndiye aliyekuwa anashiriki CAF champions badala ya Azam fc.
Ujue unaiongelea timu ya saba kwa ubora bara la AfrikaMtengeneza ratiba anatarajia kuwa baada ya mechi za Tabora na Singinda zenye wachezaji pungufu basi Simba itakuwa imeimarika kumudu kucheza na timu kamili.
Hawa jamaa kuelewa huwa ni kipengere yaan washasahau mwaka jana hawa tabora walikuwa 8 uwanjani mbele ya azam kwenye mechi yao ya kwanza hizi nyuzi hazikuandikwa kwamba azam wamepangiwa ratiba na timu yenye wachezaji 8Kwahiyo fair play ilipaswa kuwa vipi? Je ligi ingesogezwa mbele kusubiri tabora na fountain wakamilishe usajiri? Au tabora wameanza kucheza na fountain kwa kuwa zote hazikukamilisha usajiri? Au tabora na fountain wangeachwa vuporo mpaka wakamilishe usajiri? Utopolo hamjielewi kabisa
Sasa kama bahati mbaya Simba yenyewe ipo kama imebemendwa, tatizo liko wapi, si ndio vizuri kwa utopolo maana Simba chovu itafungwa na Tabora United na Fountain Gate?Bahati mbaya ni simba yenye kama vile imebemendwa, hata isaidiwe vipi haitengemai.
Huyu hapa Luc Eymael, mzee wa manyani na ma mbwaHakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
Kwahiyo fair play ilipaswa kuwa vipi? Je ligi ingesogezwa mbele kusubiri tabora na fountain wakamilishe usajiri? Au tabora wameanza kucheza na fountain kwa kuwa zote hazikukamilisha usajiri? Au tabora na fountain wangeachwa vuporo mpaka wakamilishe usajiri? Utopolo hamjielewi kab
Kama Simba angepewa Tabora united mechi ya kwanza na mechi ya pili wakapewa Azam, Yanga, namungo au timu nyingine ambayo haina tatizo la usajili huu Uzi usingeandikwa pia. Lakini huwezi kuipangia Simba kucheza mfululizo na timu mbili au tatu zenye shida kubwa za usajili.Hawa jamaa kuelewa huwa ni kipengere yaan washasahau mwaka jana hawa tabora walikuwa 8 uwanjani mbele ya azam kwenye mechi yao ya kwanza hizi nyuzi hazikuandikwa kwamba azam wamepangiwa ratiba na timu yenye wachezaji 8
Kama Simba angepewa Tabora united mechi ya kwanza na mechi ya pili wakapewa Azam, Yanga, namungo au timu nyingine ambayo haina tatizo la usajili huu Uzi usingeandikwa pia. Lakini huwezi kuipangia Simba kucheza mfululizo na timu mbili au tatu zenye shida kubwa za usajili.
1.Kwahiyo kwa kipindi hiki ambacho hizo timu bado hazijakaa sawa mlitaka zicheze na timu gani ili mlidhike?Watacheza nao wakati tayari matatizo yakiwa yameshatatuliwa.
Swali fikirishi je wakikosolewa wanasikia na kuchukua hatuaUkiitaka starehe ya mpira upende mpira wenyewe kwanza, then timu zako unazozishabikia. Ili starehe Yako isitoweke ikosoe timu Yako zaidi kuliko timu pinzani.