Ligi yetu inazidi kukuwa ila TFF inashuka, naona inaisaidia Simba SC

Ligi yetu inazidi kukuwa ila TFF inashuka, naona inaisaidia Simba SC

Kwa hiyo malalamiko yako ni Simba kupata muunganiko? Unapendekeza hao Tabora United na Fountain Gate walitakiwa wacheze na nani wakati huu ligi inapokuwa imeanza? Au TFF iwasubiri hadi wamalize usajili, waanzie raundi ya tano watakapokuwa tayari?
Tabora na Fountain kucheza na Simba kipindi hiki cha matatizo yao sio tatizo, lakini Simba kucheza na Tabora na Fountain zenye matatizo kwenye mechi zake 2 za kwanza mfululizo ni tatizo, sio bahati mbaya tu (chance) hata mwenye D moja tu unajua. Bahati mbaya ni simba yenye kama vile imebemendwa, hata isaidiwe vipi haitengemai.
 
Kwa hiyo malalamiko yako ni Simba kupata muunganiko? Unapendekeza hao Tabora United na Fountain Gate walitakiwa wacheze na nani wakati huu ligi inapokuwa imeanza? Au TFF iwasubiri hadi wamalize usajili, waanzie raundi ya tano watakapokuwa tayari?
Simba inatafutiwa mechi za pre-season kwenye ligi.
 
Imeshacheza na Tabora United yenye wachezaji muhimu wasioweza kucheza mechi ile ikashinda 3-0 ikawa kicheko na nderemo eti wanaongoza ligi. Kituo kilichokuwa kinafuata ni kucheza na Fountain gates ambayo imezuiliwa na FIFA kusajili kutoka na deni la mbrazil Rodrigo, hivyo ingecheza na wachezaji wa kuungaunga na wasiokuwa na muunganiko ili kuipatia tena pts 3 na muunganiko. Tabia hii iliisaidia Azam na Fei toto kuifunga magoli mengi Tabora United iliyocheza n awachezaji 7 uwanjani bila kuwa na wachezaji wa akiba na kumsaidia Azam kupata pts 3 zilizosababisha kushika nafasi ya pili kwenye ligi hali iliyoigharimu Simba kwenye msimamo wa ligi, na Fei TOTO kufunga magoli 3 ya haramu yaliyosababisha awe na magoli 19 ya kufunga. Isingekuwa hii mechi ambayo Azam walipata pts 3 na magoli mengi huenda Simba ndiye aliyekuwa anashiriki CAF champions badala ya Azam fc.
Kwahiyo fair play ilipaswa kuwa vipi? Je ligi ingesogezwa mbele kusubiri tabora na fountain wakamilishe usajiri? Au tabora wameanza kucheza na fountain kwa kuwa zote hazikukamilisha usajiri? Au tabora na fountain wangeachwa vuporo mpaka wakamilishe usajiri? Utopolo hamjielewi kabisa
 
Mtengeneza ratiba anatarajia kuwa baada ya mechi za Tabora na Singinda zenye wachezaji pungufu basi Simba itakuwa imeimarika kumudu kucheza na timu kamili.
Ujue unaiongelea timu ya saba kwa ubora bara la Afrika
 
Kwahiyo fair play ilipaswa kuwa vipi? Je ligi ingesogezwa mbele kusubiri tabora na fountain wakamilishe usajiri? Au tabora wameanza kucheza na fountain kwa kuwa zote hazikukamilisha usajiri? Au tabora na fountain wangeachwa vuporo mpaka wakamilishe usajiri? Utopolo hamjielewi kabisa
Hawa jamaa kuelewa huwa ni kipengere yaan washasahau mwaka jana hawa tabora walikuwa 8 uwanjani mbele ya azam kwenye mechi yao ya kwanza hizi nyuzi hazikuandikwa kwamba azam wamepangiwa ratiba na timu yenye wachezaji 8
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
Huyu hapa Luc Eymael, mzee wa manyani na ma mbwa

1724159127150.png

1724159246124.png
 
Kwanini Mechi ya kwanza ya fountain imeahilishwa na kwanini haikuwa ya Tabora united pia?

Kwanini Tabora united ilikuwa na wachezaji 7 msimu uliopita lakini TFF hiihii haikuahilisha mechi yake vs Azam? Lakini fountain gates wameahilishiwa mechi?

Kwanini timu zote zenye shida za usajili zipangwe kucheza na Simba haraharaka kabla hazijatatua tatizo lao?

Tabia kama hii ni upangaji wa matokeo na double standard, inasababisha timu kushuka daraja, kucheza playoff au kushika nafasi kwenye ligi ambayo haikustahili kuwa nayo na kuinyima timu imara nafasi yake halisi.
Kwahiyo fair play ilipaswa kuwa vipi? Je ligi ingesogezwa mbele kusubiri tabora na fountain wakamilishe usajiri? Au tabora wameanza kucheza na fountain kwa kuwa zote hazikukamilisha usajiri? Au tabora na fountain wangeachwa vuporo mpaka wakamilishe usajiri? Utopolo hamjielewi kab
 
Hawa jamaa kuelewa huwa ni kipengere yaan washasahau mwaka jana hawa tabora walikuwa 8 uwanjani mbele ya azam kwenye mechi yao ya kwanza hizi nyuzi hazikuandikwa kwamba azam wamepangiwa ratiba na timu yenye wachezaji 8
Kama Simba angepewa Tabora united mechi ya kwanza na mechi ya pili wakapewa Azam, Yanga, namungo au timu nyingine ambayo haina tatizo la usajili huu Uzi usingeandikwa pia. Lakini huwezi kuipangia Simba kucheza mfululizo na timu mbili au tatu zenye shida kubwa za usajili.
 
Sasa kama bahati mbaya Simba yenyewe ipo kama imebemendwa, tatizo liko wapi, si ndio vizuri kwa utopolo maana Simba chovu itafungwa na Tabora United na Fountain Gate?
Upangaji matokeo kwa timu Moja TU.
 
Kwa hiyo ilitakiwa ligi isianze mpaka hizo timu zimalize kusajili " hivi ukiwa uto akili zinaendaga wapi?"
Kama Simba angepewa Tabora united mechi ya kwanza na mechi ya pili wakapewa Azam, Yanga, namungo au timu nyingine ambayo haina tatizo la usajili huu Uzi usingeandikwa pia. Lakini huwezi kuipangia Simba kucheza mfululizo na timu mbili au tatu zenye shida kubwa za usajili.
 
Una mtindio wa ubongo, uelewa mdogo au hutaki kuelewa
 
Watacheza nao wakati tayari matatizo yakiwa yameshatatuliwa.
1.Kwahiyo kwa kipindi hiki ambacho hizo timu bado hazijakaa sawa mlitaka zicheze na timu gani ili mlidhike?

2. Nani alizizuia hizo timu kutolipa mapema madeni ya wachezaji waliokuwa wanawadai hadi kufungiwa na FIFA kusajili? Au kwakuwa na nyie ni wale matapeli mnaoshitakiwa fifa kila siku na wachezaji mnawatetea matapeli wenzenu?
 
Ukiitaka starehe ya mpira upende mpira wenyewe kwanza, then timu zako unazozishabikia. Ili starehe Yako isitoweke ikosoe timu Yako zaidi kuliko timu pinzani.
Swali fikirishi je wakikosolewa wanasikia na kuchukua hatua
 
Back
Top Bottom