USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka Loliondo kama yule.
Mtaa wako kuna hizo ishu ya kushindana kujenga
USSR
Mtaa wako kuna hizo ishu ya kushindana kujenga
USSR