Aliyeleta huu uzi ni ww sio mimi ni ww. Au unajichanganya?Chama kinakufa bize kujadili nyumba na upo kwa shemeji yako .
USSR
Ottawa yupo?Kwa songea bas ni Msamala, mtaani kwetu.
Watu wanashindana kuweka majumba makali, had inaogopesha.
Watu wana hela bhana. Lol.
Halafu wewe nq wenzako mko bize mnashindana kuchatiWakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka Loliondo kama yule.
Mtaa wako kuna hizo ishu ya kushindana kujenga
USSR
kama mm naishi hapo nauza naondoka hapo ni uswahilini nanwengi hawanashuleHuo mtaa wenu umejaa watu wajinga.
Halafu "losheni" ndio kitu gani??