Ndio hizi pesa zinazopigwa serekalini, vinginevyo fuatilia anapata wapi pesa ya kujenga nyumba ya ghali hivyo.Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka Loliondo kama yule.
Mtaa wako kuna hizo ishu ya kushindana kujenga
USSR
Watu wanaela mzee unakuta hata sio mfanyakazi ni mfanya biashara tu..Ndio hizi pesa zinazipigwa serekalinj, vinginevyo fuatilia anapata wapi pesa ya kujenga nyumba ya ghali hivyo.
Huo mtaa wenu umejaa watu wajinga.Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka Loliondo kama yule.
Mtaa wako kuna hizo ishu ya kushindana kujenga
USSR
Kama hukwepi kodi mfanyabiashara wa kawaida huwezi kuwa na pesa za kuchezea hivyo.Watu wanaela mzee unakuta hata sio mfanyakazi ni mfanya biashara tu..
Pesa ipo jamani tupambane na sisi tuzipate tutambe.
Kwa mfano huyo anayemliza mleta uzi anafanya biashara gani? Sio hawa wauza unga?Watu wanaela mzee unakuta hata sio mfanyakazi ni mfanya biashara tu..
Pesa ipo jamani tupambane na sisi tuzipate tutambe.
Haulipi kujenga mjengo wa hivyo hadi uje ujilize huku jukwaani. Labda kama umetoka kijijini ukaona nyumba ya kawaida na kuanza kujiliza.Ndio unga wa mahindi na ngano
USSR
Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka Loliondo kama yule.
Mtaa wako kuna hizo ishu ya kushindana kujenga
USSR