Ligi za ujenzi mtaani jirani yangu amebomoa nyumba anajenga ghorofa

Haulipi kujenga mjengo wa hivyo hadi uje ujilize huku jukwaani. Labda kama umetoka kijijini ukaona nyumba ya kawaida na kuanza kujiliza.
Chama kinakufa bize kujadili nyumba na upo kwa shemeji yako .

USSR
 
Kwa songea bas ni Msamala, mtaani kwetu.
Watu wanashindana kuweka majumba makali, had inaogopesha.

Watu wana hela bhana. Lol.
 
Mnabomoa eeh ? Kama hamjakimbilia huku shamba mtajua.
 
Halafu wewe nq wenzako mko bize mnashindana kuchati
 
Wengine tunashindana na malengo yetu, Kila mwaka najenga nyumba moja ya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…