Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Yaani penati haijapigwa ndani ya Box kuna wachezaji kama wote, hii sheria ya wapiiii??

Penati za Mchongo hizi [emoji28][emoji1787][emoji1787]
 
Simba ana point zetu 6 kazishikilia,December 11 ataanza kwa kutupatia 3 na zitakazobaki atatupa hapo baadae,time will tell [emoji38][emoji2][emoji2]
 
Dogo Wa mbao anaecheza Namungo?
 
Acha kupamba mavi maua moloko hajakulia academy ni katoka Congo viwanja Kama vyetu tu

Farid musa usahawahi muona anavyokichafua ndondocup
 
We msng nimeona tag yako kwenye ule uzi na shit uliyoandika, nilichokuandikia kilikua beyond' shukuru mods wamefuta ule uzi
🤣🤣🤣🤣🤣 acha hasira mtani mimi na wewe ni watani ndugu yangu.

Na ntakutania hadi mwisho wa dunia. Kama hutaki jitoe usiwe shabiki wa mbumbumbu.
 
Yanga leo mmebebwa na refa wenu Kipunje. Huyu refa njaa zitamuua
 
Yaani unatetea ufala. Ndiyo maana kimataifa mnapoteana.
 
Kuna mtu alisema kuna watu wameanza form one hadi wanamaliza form 4 hawajawahi kuisikia yanga ikichukua ubingwa.
Na kuna hati hati wakaanza form V na VI bila kushuhudia yanga ikipata ubingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…