Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Yaani penati haijapigwa ndani ya Box kuna wachezaji kama wote, hii sheria ya wapiiii??

Penati za Mchongo hizi [emoji28][emoji1787][emoji1787]
IMG_20211120_190445.jpg
 
Simba ana point zetu 6 kazishikilia,December 11 ataanza kwa kutupatia 3 na zitakazobaki atatupa hapo baadae,time will tell [emoji38][emoji2][emoji2]
 
Yanga bingwa msimu huu[emoji23][emoji23][emoji23]yani alipewa kadi nyekundu sio aliyecheza hiyo rafu ya uongo na wala sio aliyemtukana mana yake aliyekuwa anamtukana pale ni jacob massawe na rafu kacheza emmanuel dogo wa mbao[emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo Wa mbao anaecheza Namungo?
 
Hawa Namungo tangu wamepanda daraja wamekuwa wakitusumbua sana na tena kwa muda mrefu na mechi ya leo japokuwa sijaangalia nilijua tutapigwa tu

Kocha hakutakiwa aanze na wachezaji wakucheza kwenye viwanja vzr

Farid Mussa na Moloko viwanja hivi vinawasumbua sana kutokana na aina ya Ball control zao
Acha kupamba mavi maua moloko hajakulia academy ni katoka Congo viwanja Kama vyetu tu

Farid musa usahawahi muona anavyokichafua ndondocup
 
We msng nimeona tag yako kwenye ule uzi na shit uliyoandika, nilichokuandikia kilikua beyond' shukuru mods wamefuta ule uzi
🤣🤣🤣🤣🤣 acha hasira mtani mimi na wewe ni watani ndugu yangu.

Na ntakutania hadi mwisho wa dunia. Kama hutaki jitoe usiwe shabiki wa mbumbumbu.
 
Ni pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.

Je, Nani Kuibuka Na Ushindi Ni Namungo au Yanga, Majibu yote ni Baada Ya Dakika 90 kumalizika Kuanzia Saa 10 kamili Jioni Ya Leo.

Baada ya Maneno Mengi na Maswali Mengi ya Fair Competition Nini kitatokea Leo?

Tuwe hapa kwa Dakika 90

KIKOSI Cha Young Africans SC vs Namungo FC, Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, (NBC Premier League) leo Jumamosi November 20,2021 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi.

1: Djigui Diarra
2: Shabaan Djuma
3: Kibwana Shomari
4: Dickson Job
5: Bakari Nondo (C)
6: Tonombe Mukoko
7: Jesus Moloko
8: Yannick Bangala
9: Fiston Mayele
10: Feisal Salum
11: Farid Mussa

Wachezaji wa Akiba
12:Eric Johora
13:Brayson David
14:Abdalah Shaibu
15: Deus Kaseke
16: Yassin Mustafa
17:Zawadi Mauya
18:Yusuf Athuman
19:Heritier Makambo
20:Saido Ntibanzokiza

Kikosi Cha Namungo FC vs Young Africans SC
View attachment 2017724

====

UPDATES:

======

FT: Namungo 1-1 Yanga

⚽️ Aubrey Chirwa 52’

⚽️Saidi Ntibazonkiza 82’

Kwa mara ya 5 hamna mbabe kati ya Namungo na Yanga.
Yanga leo mmebebwa na refa wenu Kipunje. Huyu refa njaa zitamuua
 
View attachment 2017736
Hawa Namungo ni kawaida sana kwenye mechi zetu hasa kuponea chupuchupu na kutoa sare

Ni Matokeo positive sana kwa Yanga na pale ndio ubora na ujanja wa baadhi ya wachezaji kwenye mechi ngumu kama hizi kuamua hizi game

Mechi kama hizi ndio unakuwa na mchezaji aina ya clatous chota chama ambao wao kufanya magic kwenye kiwanja ni kitu cha kawaida sana
Yaani unatetea ufala. Ndiyo maana kimataifa mnapoteana.
 
Kuna mtu alisema kuna watu wameanza form one hadi wanamaliza form 4 hawajawahi kuisikia yanga ikichukua ubingwa.
Na kuna hati hati wakaanza form V na VI bila kushuhudia yanga ikipata ubingwa.
 
Back
Top Bottom