Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Mbumbumbu washenzi sana. Mara hii tu mmeshasahau mnavobebwa? Ndo tumepewa penalty sasa tuueni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulialiaMbumbumbu washenzi sana. Mara hii tu mmeshasahau mnavobebwa? Ndo tumepewa penalty sasa tuueni.
Kikubwa mmedondosha point 2 hayo mengine tuwaachie nyie na refa wenu.Mbumbumbu washenzi sana. Mara hii tu mmeshasahau mnavobebwa? Ndo tumepewa penalty sasa tuueni.
Kumbe inauma eeh! Umesahau yale ya kupiga faulo kabla ya filimbi na mkapata goli dhidi ya azamYaani penati haijapigwa ndani ya Box kuna wachezaji kama wote, hii sheria ya wapiiii??
Penati za Mchongo hizi [emoji28][emoji1787][emoji1787]View attachment 2017753
Inakuuma sana we boya, mnavyobebwa nyinyi huwa tamu sana au sioAcha zako ujanja afanye refa kongole ziende kwa wachezaji, nyie watu mbona mmekosa fadhila?
We msng nimeona tag yako kwenye ule uzi na shit uliyoandika, nilichokuandikia kilikua beyond' shukuru mods wamefuta ule uziInakuuma sana we boya, mnavyobebwa nyinyi huwa tamu sana au sio
Dogo Wa mbao anaecheza Namungo?Yanga bingwa msimu huu[emoji23][emoji23][emoji23]yani alipewa kadi nyekundu sio aliyecheza hiyo rafu ya uongo na wala sio aliyemtukana mana yake aliyekuwa anamtukana pale ni jacob massawe na rafu kacheza emmanuel dogo wa mbao[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kupamba mavi maua moloko hajakulia academy ni katoka Congo viwanja Kama vyetu tuHawa Namungo tangu wamepanda daraja wamekuwa wakitusumbua sana na tena kwa muda mrefu na mechi ya leo japokuwa sijaangalia nilijua tutapigwa tu
Kocha hakutakiwa aanze na wachezaji wakucheza kwenye viwanja vzr
Farid Mussa na Moloko viwanja hivi vinawasumbua sana kutokana na aina ya Ball control zao
🤣🤣🤣🤣🤣 acha hasira mtani mimi na wewe ni watani ndugu yangu.We msng nimeona tag yako kwenye ule uzi na shit uliyoandika, nilichokuandikia kilikua beyond' shukuru mods wamefuta ule uzi
Yanga leo mmebebwa na refa wenu Kipunje. Huyu refa njaa zitamuuaNi pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.
Je, Nani Kuibuka Na Ushindi Ni Namungo au Yanga, Majibu yote ni Baada Ya Dakika 90 kumalizika Kuanzia Saa 10 kamili Jioni Ya Leo.
Baada ya Maneno Mengi na Maswali Mengi ya Fair Competition Nini kitatokea Leo?
Tuwe hapa kwa Dakika 90
KIKOSI Cha Young Africans SC vs Namungo FC, Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, (NBC Premier League) leo Jumamosi November 20,2021 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi.
1: Djigui Diarra
2: Shabaan Djuma
3: Kibwana Shomari
4: Dickson Job
5: Bakari Nondo (C)
6: Tonombe Mukoko
7: Jesus Moloko
8: Yannick Bangala
9: Fiston Mayele
10: Feisal Salum
11: Farid Mussa
Wachezaji wa Akiba
12:Eric Johora
13:Brayson David
14:Abdalah Shaibu
15: Deus Kaseke
16: Yassin Mustafa
17:Zawadi Mauya
18:Yusuf Athuman
19:Heritier Makambo
20:Saido Ntibanzokiza
Kikosi Cha Namungo FC vs Young Africans SC
View attachment 2017724
====
UPDATES:
======
FT: Namungo 1-1 Yanga
⚽️ Aubrey Chirwa 52’
⚽️Saidi Ntibazonkiza 82’
Kwa mara ya 5 hamna mbabe kati ya Namungo na Yanga.
Tunajua tutazipata kwa kolokwinyo point tulizodondosha leoKikubwa mmedondosha point 2 hayo mengine tuwaachie nyie na refa wenu.
BTW Utopolo hamna maajabu yoyote kimpira.
Gari limewaka utazidondosha Hadi ukomeTunajua tutazipata kwa kolokwinyo point tulizodondosha leo
Yaani unatetea ufala. Ndiyo maana kimataifa mnapoteana.View attachment 2017736
Hawa Namungo ni kawaida sana kwenye mechi zetu hasa kuponea chupuchupu na kutoa sare
Ni Matokeo positive sana kwa Yanga na pale ndio ubora na ujanja wa baadhi ya wachezaji kwenye mechi ngumu kama hizi kuamua hizi game
Mechi kama hizi ndio unakuwa na mchezaji aina ya clatous chota chama ambao wao kufanya magic kwenye kiwanja ni kitu cha kawaida sana