Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Unafamilia?
 
Wale wa simu tucheki kupitia stream gan???
 
Kocha ni Abel wiliam, yes bila shaka hili jina sio geni masikion, hili jina lipo kwenye record za benk za wadaiwa sugu

Ebu tuone itakuwaje
 
Yanga wwnarejea kwenye hali yao ya msimu uliopita. Hawana kasi, wanapoteza mipira mingi, mipango ya kutafuta goli hawana. Sijui tatizo uwanja au ndio wanarejea katika kiwango cha asili yao
 
Yanga wwnarejea kwenye hali yao ya msimu uliopita. Hawana kasi, wanapoteza mipira mingi, mipango ya kutafuta goli hawana. Sijui tatizo uwanja au ndio wanarejea katika kiwango cha asili yao
Yanga bila Aucho hakuna team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…