haya ya uclean yalikuwepo enzi za julius tena kwa kiwango kichache. kwa ccm hii ya dotCOM !!🙄Mkuu Johnny Sack , mimi ni kada mzoefu wa CCM, I know the games people plays, nimedhamiria kugombea nikiwa clean, na kuamua kuto plays dirty nikiamini one day CCM will come clean and pick the clean people like me.
P
No japo ni wachache lakini tupo wana CCM clean, wenye white hearts, mioyo yao as white as snow, tuko watu very cool, as cold as Ice.haya ya uclean yalikuwepo enzi za julius tena kwa kiwango kichache. kwa ccm hii ya dotCOM !!🙄
MAUMIVU TUPU
Unapoongea hivi huwa nashangaa sana hivi kama hali ndio hii huu uclean wa kundi lenu wachache tangu enzi hizo iweje mushindwe kuongoza nchi kwenye usawaNo japo ni wachache lakini tupo wana CCM clean, wenye white hearts, mioyo yao as white as snow, tuko watu very cool, as cold as Ice.
P
Ameandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza Ph'DNo japo ni wachache lakini tupo wana CCM clean, wenye white hearts, mioyo yao as white as snow, tuko watu very cool, as cold as Ice.
P
Kwanza kwenye CCM clean hatuna kundi, ni individuals, nawajua wana CCM safi, waadiliful wanao chukia rushwa na wako tayari kukosa uongozi kuliko kununua uongozi. Hawa CCM clean sii wote are fighting to clense CCM, wengine kutokana na umri wameamua kujinyamazia na kuwaachia wenye meno.Unapoongea hivi huwa nashangaa sana hivi kama hali ndio hii huu uclean wa kundi lenu wachache tangu enzi hizo iweje mushindwe kuongoza nchi kwenye usawa
Kwanza kwenye CCM clean hatuna kundi, ni individuals, nawajua wana CCM safi, waadiliful wanao chukia rushwa na wako tayari kukosa uongozi kuliko kununua uongozi. Hawa CCM clean sii wote are fighting to clense CCM, wengine kutokana na umri wameamua kujinyamazia na kuwaachia wenye meno.
Mimi kwa upande wangu, I cleanse CCM kupitia kalamu yangu na sauti yangu, na amini uniamini kuna siku watasikia, wakiendelea kushupaza shingo, then kuna siku ya Mwanagutu itafika kwa CCM Serikali ya CCM, Yapewa Onyo la "Mwanagutu"-" Siku Yake Ipo!, Utapogeuka Upepo, Wasije Kulia!.
Siku hiyo ikifika, itakuwa ni siku ya CCM "Mene Mene Tekeli na Peresi" ....?!
P
Umeharibu hapaKufuatia Watanzania kuwakataa wapinzani kwenye sanduku la kura, kupitia uchaguzi huru na wa haki,
Kwanza kwenye CCM clean hatuna kundi, ni individuals, nawajua wana CCM safi, waadiliful wanao chukia rushwa na wako tayari kukosa uongozi kuliko kununua uongozi. Hawa CCM clean sii wote are fighting to clense CCM, wengine kutokana na umri wameamua kujinyamazia na kuwaachia wenye meno.Unapoongea hivi huwa nashangaa sana hivi kama hali ndio hii huu uclean wa kundi lenu wachache tangu enzi hizo iweje mushindwe kuongoza nchi kwenye usawa
Kuna ccm wenyewe na ccm makapi. Kama wewe ni ccm makapi hata uwe mweupe kama theluji na baridi kama barafu hautakaa uingie kwenye kundi la ccm wenyewe.No japo ni wachache lakini tupo wana CCM clean, wenye white hearts, mioyo yao as white as snow, tuko watu very cool, as cold as Ice.
P
Mkuu Algore japo hili sii jambo jema lakini lipo!, kuna wenye CCM, wana CCM, na wakuja!, kama ilivyo kwenye nchi kuna wenye nchi, wala nchi na wananchi!. Huu ni ubaguzi ambao kiukweli kabisa, sio tuu unasabisha bitterness kwa walio baguliwa, bali taifa linapata madhara makubwa kwa kuongozwa na viongozi wabovu wabovu, lakini wanachaguliwa kwasababu ni "wenzetu"!. Kwenye top 3 ya 2005, kwa upande wa CCM, walikuwa Dr. Salim, an internationa diplomat, a man with intergrity!, Prof.. Mark Mwandosya an academician, best brain, high IQ, na JK, mshikaji mwenye GPA ya 2.1, a handsome boy, mwenye sura nzuri cheko na bashasha tele.Kuna ccm wenyewe na ccm makapi. Kama wewe ni ccm makapi hata uwe mweupe kama theluji na baridi kama barafu hautakaa uingie kwenye kundi la ccm wenyewe.
Haya ni mazonge ya ccm yako usije kulialia huku.Mkuu Mmawia , kwenye upatikanaji wa wabunge wa EALA, wabunge hao wanachaguliwa na mabunge ya nchi husika. The bottom line ni uchaguzi unafanywa na Bunge. Kwa Tanzania mchakato wake unapitia two stages
1. Uchaguzi wa wagombea kwenye ngazi ya vyama. Mchakato huu kwa CCM ndio umekwenda vizuri, waliochaguliwa wamechaguliwa kwa haki, na tulioshindwa, tumeshindwa kwa haki kwa kuzidiwa sifa na waliochaguliwa EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!
Baada ya mchakato huu, CCM ilipaswa ichague angalau majina mawili kwa kila nafasi ili kulipa Bunge fursa ya kuchagua.
Kilichofanyika hapa ni majina ya walioteuliwa na CCM yakapelekwa kwenye party caucas ya CCM, wakaibuka na majina 8 kwa zile nafasi 8 za CCM ndio yakapelekwa Bungeni.
2. Bunge kupokea majina kutoka kwenye vyama vya siasa, kisha wabunge ndio wafanye uchaguzi kuwachagua wabunge wa EALA. Ni vyama vya upinzani pekee ndio vimepeleka bungeni majina na bunge kuchagua, lakini kwa zile nafasi 8 za EALA za CCM, hakukuwa na uchaguzi because there was no choice to choose from, bali kuthibitisha wale 8 wa CCM.
Hili ni Bunge la 4 la EALA, mabunge yote matatu yaliyotangulia, Bunge la JMT, lilichagua wabunge wa EALA by choices from vyama vya siasa ikiwemo CCM ambayo ilichagua majina mawili mawili. This time CCM ndio imechagua wawakilishi 8 na kulipa Bunge kuwathibitisha tuu na sio kuwachagua!.
P
Pascal ana akili kama za kenge huyo haamini kama ameumizwa hadi aone damu zikimtoka masikioniHaya ni mazonge ya ccm yako usije kulialia huku.
Mkuu denooJ, kiukweli kuna mambo ni magumu kueleweka mpaka mtu uwe na jicho fulani hivi, ndipo utayaelewa!. Siku zote Bunge letu hupelekewa majina mawili mawili au zaidi kwa ajili ya kila nafasi, kisha ndipo Bunge huchagua!, this time Bunge limepelelewa jina moja moja tuu from CCM, hivyo kazi ya Bunge, haikuwa kuchagua bali kupitisha tuu!, ili kuchagua kitu, there must be some choices to choose from!. Mchakato wa ndani ya chama ulikwenda vizuri, waliochaguliwa walichaguliwa kwa haki, na tuliokatwa tulikatwa kwa haki kwa kuzidiwa vigezo, hili sio bandiko la complain, and its not about me!. EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!Paskali nimekusoma mpaka mwisho, nikajiuliza, hivi wakati unaenda kuchukua form kwa ajili ya kugombea huo ubunge hukuyafahamu haya? naamini uliyafahamu.
Hii haijawahi kutokea huko nyuma, na hata hapa nilipoeleza hili, sijui kama wahusika wanajua kuna tatizo, mimi jukumu langu ni nimenote na kuangazia, nimetimiza wajibu wangu.Sasa kama uliyafahamu, kwanini uje kulaumu hizo taratibu baada ya matokeo kutoka?
Haya sio malalamiko yangu, nasisitiza mimi silalamiki kukatwa EALA, EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!, hapa nazungumzia Bunge letu kufanywa a rubber stamp ya CCM!.Mimi kwa mtazamo wangu, ili haya malalamiko yako yawe na maana, ulitakiwa usishiriki huu mchakato toka mwanzo, kisha uoneshe huo udhaifu uliouandika hapa wa namna washindi wanavyopatikana kutoka kwa majina yaliyopitishwa na CCM [bunge kuwa rubber stamp], lakini sio kwenda, kisha ukapigwa halafu unarudi kulaumu.
Next time ujifunze.