baba glory
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 292
- 213
Anaogopa maana anajua battalion moja tu inamtoa nduki,maana hapo kuna watakaokimbia asa utakuta katika 5000 watakaobaki ni kama 2500 tuMkuu wa majeshi ameshasema hatothubutu kuingiza jeshi lake kwenye huu mgogoro kwa kuwa ni wa kisiasa.
Mikwara tu ila kitu kinagonga hana chochote,ni kama yule kanali wa kule Commoro ambae alitoka nduki kwa kuvaa nguo za kike[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4]mbona anakibur sana lakn
kuna kitu anajivunia sio bure kwakwel
Kama Lesotho mkuuu yaani pande 3 ziko surrounded kasoro upande mmoja tu wa bahariKijiographia hii gambia cjaielewa kbsa, yani ipo katikati ya senegal kwa muundo wa gulf au penisula?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Umenikumbusha kuna vita Watanzania walienda kusaidia sijui kanchi gani? walienda na waandishi wa habari wakawa wanafotolewa picha walivyorudi tulikoma.
Nmekupata mkuu, ila ushawahi ng'amua tofauti zao ni zipi?, maana jnc zlivyopakana cpati majibu sahihi n kwa vp they ended up being separate states........??Kama Lesotho mkuuu yaani pande 3 ziko surrounded kasoro upande mmoja tu wa bahari
Nimejaribu kuangalia ubishani wenu, wewe ndo unaonekana huna akili yule kauliza unakuja kwa jazba and kwa maelezo is like anajua zaidi kuhusu wewe nimenunua ugomviKama umeiona ramani unadhani ile ni gulf au peninsula? Swali lako limemaanisha geographical features.
Na ulivyozitaja ni kuwa unazifahamu unahitaji tu kujua Gambia ni ipi kati ya hizo mbili.
Mchane jamaa anakuwa kama wale mal...... wanaotukanana insta.Cjamaansha kuwa lie ni gulf au pen', nmetolea mfano tu, mkuu we co wa msaada kwangu, kausha tu km vp
Hebu angalia tena ramani ya LesothoKama Lesotho mkuuu yaani pande 3 ziko surrounded kasoro upande mmoja tu wa bahari
a wanamgambo ambao hawana kambi maalum wala sare za kueleweka na wanajeshi ambao kambi zao na vifaa vyao vyote vinajulikana.WANAMGAMBO WA OSAMA WALIKUWA 2000 TU LAKINI MMAREKANI ALIPATA TABU SANA KUMSAMBARATISHA
Kanajivunia ndumbambona anakibur sana lakn
kuna kitu anajivunia sio bure kwakwel
Jammeh alikuwa ni Mwanajeshi na Wanajeshi wote wa Gambia ni Masela wake ndio maana wanampa kibuli. Hao ECOWAS Watashinda ila watapata upinzani mkubwa sana. Na kwa historia ya ile nchi. Vurugu zitakuwa nyingi sana na huyo adama barrow hataweza kuongoza kwa amani
SawaNimejaribu kuangalia ubishani wenu, wewe ndo unaonekana huna akili yule kauliza unakuja kwa jazba and kwa maelezo is like anajua zaidi kuhusu wewe nimenunua ugomvi
Umetisha. Kweli una hasiraMchane jamaa anakuwa kama wale mal...... wanaotukanana insta.
hii ni pumbaMarekani ana Bajeti kubwa kuliko Wote Duniani na Kamshindwa Taliban huko Afghanistan kakikundi hata Bajeti ya wapiganaji wao hawana.
Siku zote jeshi sio vifaa au uwingi wa wapiganaji. kama huu ndio uchambuzi wako haina hata haja ya kwenda kutafuta hilo gazeti la Mwananchi.
Unaingia kwenye nchi ambayo wenyewe wanaijua. Wanajua wapi kuna milima, wapi kuna mabonde na wapi tambarare. Mbinu, mipango na mikakati iliyobora siku zote ndio silaha bora na ziletazo ushindi vitani.
ECOWAS wasipokuwa makini watarudi na aibu au kuuwa raia wasiokuwa na hatia. Alichokifanya Jammeh si uungwana ila kuingia kichwa kichwa kwa hao jamaa inaweza ikawaletea casualties nyingi sana.
Kwahiyo hicho ulipost wewe ndio mchele. Haya nimekuelewa.hii ni pumba
wanaenda kupata experience mkuuGambia nao ni jipu lingine
hua nashangaa nao wanakuaga mstari wa mbele kutoa wanajeshi wao katika missions za AU na UN za kulinda amani, kuna kipindi jamaa alitoa wanajeshi 200 kwa AU na 100 UN, sasa jeshi lenye wanajeshi buku afu unachangia wanajeshi 300 kwenda kulinda amani
only in Gambia!!