Lijue Jeshi linalompa kiburi Yahya Jammeh

Lijue Jeshi linalompa kiburi Yahya Jammeh

mbona anakibur sana lakn
kuna kitu anajivunia sio bure kwakwel
Mikwara tu ila kitu kinagonga hana chochote,ni kama yule kanali wa kule Commoro ambae alitoka nduki kwa kuvaa nguo za kike[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4]
 
Umenikumbusha kuna vita Watanzania walienda kusaidia sijui kanchi gani? walienda na waandishi wa habari wakawa wanafotolewa picha walivyorudi tulikoma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Kama Lesotho mkuuu yaani pande 3 ziko surrounded kasoro upande mmoja tu wa bahari
Nmekupata mkuu, ila ushawahi ng'amua tofauti zao ni zipi?, maana jnc zlivyopakana cpati majibu sahihi n kwa vp they ended up being separate states........??
 
Kama umeiona ramani unadhani ile ni gulf au peninsula? Swali lako limemaanisha geographical features.

Na ulivyozitaja ni kuwa unazifahamu unahitaji tu kujua Gambia ni ipi kati ya hizo mbili.
Nimejaribu kuangalia ubishani wenu, wewe ndo unaonekana huna akili yule kauliza unakuja kwa jazba and kwa maelezo is like anajua zaidi kuhusu wewe nimenunua ugomvi
 
tofautish
WANAMGAMBO WA OSAMA WALIKUWA 2000 TU LAKINI MMAREKANI ALIPATA TABU SANA KUMSAMBARATISHA
a wanamgambo ambao hawana kambi maalum wala sare za kueleweka na wanajeshi ambao kambi zao na vifaa vyao vyote vinajulikana.
 
Jammeh alikuwa ni Mwanajeshi na Wanajeshi wote wa Gambia ni Masela wake ndio maana wanampa kibuli. Hao ECOWAS Watashinda ila watapata upinzani mkubwa sana. Na kwa historia ya ile nchi. Vurugu zitakuwa nyingi sana na huyo adama barrow hataweza kuongoza kwa amani

Ni akheri vurugu ziwepo lakini Jammer aondoke Madarakani.
Hii itatoa somo kwa Viongozi wa Afrika kwamba ukikataa kuondoka Madarakani unatolewa kwa Nguvu.
 
Marekani ana Bajeti kubwa kuliko Wote Duniani na Kamshindwa Taliban huko Afghanistan kakikundi hata Bajeti ya wapiganaji wao hawana.

Siku zote jeshi sio vifaa au uwingi wa wapiganaji. kama huu ndio uchambuzi wako haina hata haja ya kwenda kutafuta hilo gazeti la Mwananchi.

Unaingia kwenye nchi ambayo wenyewe wanaijua. Wanajua wapi kuna milima, wapi kuna mabonde na wapi tambarare. Mbinu, mipango na mikakati iliyobora siku zote ndio silaha bora na ziletazo ushindi vitani.

ECOWAS wasipokuwa makini watarudi na aibu au kuuwa raia wasiokuwa na hatia. Alichokifanya Jammeh si uungwana ila kuingia kichwa kichwa kwa hao jamaa inaweza ikawaletea casualties nyingi sana.
hii ni pumba
 
Huyo kawapa sifa ECOWAS.. Ingekuwa Nigeria Jonathan ndio kakataa usingesikia mambo ya ECOWAS
 
Gambia nao ni jipu lingine

hua nashangaa nao wanakuaga mstari wa mbele kutoa wanajeshi wao katika missions za AU na UN za kulinda amani, kuna kipindi jamaa alitoa wanajeshi 200 kwa AU na 100 UN, sasa jeshi lenye wanajeshi buku afu unachangia wanajeshi 300 kwenda kulinda amani

only in Gambia!!
wanaenda kupata experience mkuu
 
Alafu huyu raisi mpya sura yake macho yake kama anapenda kuelekeza sura yake chini huku macho akiangalia juu na usawa wa anachoangalia kama nitabia ya utukutu na ujeuli wa malezi sijui Mimi namuonaje nawaza tu!
 
Back
Top Bottom