Marekani ana Bajeti kubwa kuliko Wote Duniani na Kamshindwa Taliban huko Afghanistan kakikundi hata Bajeti ya wapiganaji wao hawana.
Siku zote jeshi sio vifaa au uwingi wa wapiganaji. kama huu ndio uchambuzi wako haina hata haja ya kwenda kutafuta hilo gazeti la Mwananchi.
Unaingia kwenye nchi ambayo wenyewe wanaijua. Wanajua wapi kuna milima, wapi kuna mabonde na wapi tambarare. Mbinu, mipango na mikakati iliyobora siku zote ndio silaha bora na ziletazo ushindi vitani.
ECOWAS wasipokuwa makini watarudi na aibu au kuuwa raia wasiokuwa na hatia. Alichokifanya Jammeh si uungwana ila kuingia kichwa kichwa kwa hao jamaa inaweza ikawaletea casualties nyingi sana.