Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Katiba isipoheshimiwa haitokuwa na athari yeyote ni sawa na sasa mengi yanafanyika wazi wazi ambayo ni kinyume na katiba.Ukweli ndo huo. Makundi haya yanafanana kwenye hilo suala la uchu wa madaraka na maslahi binafsi.
Na kiuhalisia kwa sehemu kubwa yanaiumiza sana Tanzania kuliko kuisaidia.
Suluhisho pekee ni Vyombo vya dola kulazimisha nchi inapata Katiba Mpya iliyo bora inayowaweka Wanasiasa chini ya Mifumo na kuwaondoa kuwa sauti ya mwisho kuamua Fate ya Taifa hili.