Katiba isipoheshimiwa haitokuwa na athari yeyote ni sawa na sasa mengi yanafanyika wazi wazi ambayo ni kinyume na katiba.Ukweli ndo huo. Makundi haya yanafanana kwenye hilo suala la uchu wa madaraka na maslahi binafsi.
Na kiuhalisia kwa sehemu kubwa yanaiumiza sana Tanzania kuliko kuisaidia.
Suluhisho pekee ni Vyombo vya dola kulazimisha nchi inapata Katiba Mpya iliyo bora inayowaweka Wanasiasa chini ya Mifumo na kuwaondoa kuwa sauti ya mwisho kuamua Fate ya Taifa hili.
Ili Katiba iheshimiwe ni lazima iwe na vifungu vitakavyosababisha lazima iheshimiwe.Katiba isipoheshimiwa haitokuwa na athari yeyote ni sawa na sasa mengi yanafanyika wazi wazi ambayo ni kinyume na katiba.
Lema hajawahi kuwa Sukuma Gang.Anayelia kilio cha kusaga meno moja ya waasisi wa sukuma gang ni bwana Lema na tena alileta mpaka
Uchawa wa kusema Mama anaupiga mwingi hahaha ila leo Lisu anayenye debe na soon akifia huko litakuwa fundisho
Makundi yote hayana msaada na faida kubwa kwa Tanzania.Waliangushwa vibaya na kundi la born town, shida yao kuu ni ukabila na ukanda
Soma na mapungufu yao alafu jaribu kulinganisha.Mazuri ya Kundi la Wajamaa wa CCM (Sukuma Gang)
1. Wanatizama sana maslahi ya watu wengi ambao ni wananchi wa kawaida. Mipango yao muda mwingi ni ya kulinufaisha kundi kubwa la Wananchi masikini.
2. Wana itizama Nchi zaidi kuliko maslahi yao binafsi.
Naona mkanganyiko kwenye mazuri yao na mapungufu yao.Soma na mapungufu yao alafu jaribu kulinganisha.
Suluhisho ni Katiba Mpya iliyo bora.Naona mkanganyiko kwenye mazuri yao na mapungufu yao.
Sawa mkuu kama unaamini haya matatizo yatamalizwa na uwepo wa katiba mpya tu.Suluhisho ni Katiba Mpya iliyo bora.
Haya makundi yote yana ajenda zao za kibinafsi in a bigger picture.
Katiba mpya haiwezi kuondoa hamu na uchu wa baadhi ya wanasiasa kutafuta madaraka kwa njia yoyote ile.Ukweli ndo huo. Makundi haya yanafanana kwenye hilo suala la uchu wa madaraka na maslahi binafsi.
Na kiuhalisia kwa sehemu kubwa yanaiumiza sana Tanzania kuliko kuisaidia.
Suluhisho pekee ni Vyombo vya dola kulazimisha nchi inapata Katiba Mpya iliyo bora inayowaweka Wanasiasa chini ya Mifumo na kuwaondoa kuwa sauti ya mwisho kuamua Fate ya Taifa hili.
KATIBA MPYA yenye meno ndo kila kitu.Katiba mpya haiwezi kuondoa hamu na uchu wa baadhi ya wanasiasa kutafuta madaraka kwa njia yoyote ile.
Haiondoi ukweli kwamba watu wanaofahamiana tangu mashuleni siku wanapokutana wakiwa na vyeo na nafasi ni lazima watasaidiana, watainuana.
Katiba kuwa makaratasi ni maneno yenye ukweli ndani yake. Haiwezi kuwa mtatuzi wa kila tatizo la kitaifa.
Hii ndo changamoto kubwa inayoukabili ujamaa. Wajamaa wengi ni wajamaa kwenye nadharia ila sio kwenye maisha yao halisi. Ndo mana ujamaa ulifeli kwa sehemu kubwa duniani. Na sehemu ulipobaki maisha ni magumu sana kwa Wananchi mfano Cuba na Venezuela.Nimependa analysis mkuu!!
Ila sasa mbona wana conflicting opinions like kudhulumu ,au kupenda kuwa matajiri wakati wao ni wajamaa 🤣,lacking political tolerance
Hizo opinion hapo juu ni kubwa sana na ni weakness kubwa no wonder socialism au communalism ilisha collapse kitambo kwa sababu ina element za Totalitarian rule na ku contravene freedom of expression,rule of law which are epitome of naive or premitive behaviour in the modern era
Wajamaa wengi ni makabaila kiuhalisiaHadithi tu hizi uwezi kuwa mjamaa leo ata kama unaupenda vipi kwa nchi maskini.
Serikali yenyewe inakiri wahitimu wamekuwa wengi kushinda ajira zilizopo sokoni na wao sasa wanaostaafu ni wachache kushinda wanaotafuta hitimu kila mwaka.
Solution ni kuchochea private sector ndio itaweza chukua mzigo wa wahitimu.
Sio hivyo tu nchi maskini zinamadeni makubwa aziwezi tegemea exports za natural resources na watalii kulipa madeni. Hawatakuwa na hela za miradi, public services na admin budgets.
Hakuna serikali maskini isiyohitaji biashara ziongezeke ili waongeze mapato yao ya kodi na kupunguza tatizo la ajira.
Ni hivi ujamaa auwezekaniki Africa ukiingia na ideology baada ya kuapishwa ukikaa na wataalamu wa uchumi wa ukweli kwa hali ya nchi kama Tanzania watakueleza hizo ni pipe dream hilo jambo alitekelezeki leo.
FafanuaWajamaa wengi ni makabaila kiuhalisia
Msingi mkuu wa Ujamaa ni usawa na undugu.Fafanua