mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Umeona like yangu?mama kubwa... Duu!
Hongera kwa kuona aibu.Tangu umejiunga jf 2010 mpaka leo, wewe ni wa kulilia likes?
Aibu nimeona Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
maybe, why u ask?Umeona like yangu?
Nakupa like ambazo huyo mama anakosa. Kula like nyingine.maybe, why u ask?
Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
jiwe kabana hadi like zimekuwa za shida.
Yaani zilivyoadimika utafikiri CAG anakagua hadi like!jiwe kabana hadi like zimekuwa za shida.
Hata mimi...!!??[emoji53][emoji53]Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
Karibu kwa Uzi maalum wa kupeana "LIKES". Ni rahisi kupata likes dont stress Yourself kwa vitu vidogo kama hivi.Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
Hahahaha dah nimecheka sana wana mnajivimambojiwe kabana hadi like zimekuwa za shida.
Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.