LIKE KWANGU ZIMEADIMIKA.

LIKE KWANGU ZIMEADIMIKA.

hatutaki kuambiwa ukweli wala kuelimishwa vitu vya muhimu, wew ukitaka like fanya uwe unafundisha ujinga, jokes na chekesha watu, na kusifia pumba
 
Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
Karibu kwa Uzi maalum wa kupeana "LIKES". Ni rahisi kupata likes dont stress Yourself kwa vitu vidogo kama hivi.
 
Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.

Kwa huu uzi nilikupa like kama zote mkuu, maana hapa ulitupia nondo sio za nchi ya viwanda....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom