Pre GE2025 Likizo inaisha lini?

Pre GE2025 Likizo inaisha lini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Good morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Nimerudi salama boss tupo pamoja
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Karibu tena bhana
Kama kawa kama dawa..!πŸ‘ŒπŸΏ
Sijasoma kilichoandikwa ila karibu tena jukwaani Mlozi mwandamizi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Karibu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751
πŸ˜‚πŸ˜‚ nitakuja na Uzi wa amphibia
Sema tena jezi za Yanga zina laana
Sio laana tuu na gund
Tunaojua kusoma tabia za watu...

Aliyeandika hapa si mshana...

Kama ni yeye, lipo jambo.
Ni mimi mwenyewe kabisa
Karibu sana Mshana Jr jf ilikumiss
❀❀❀much loveπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Afadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
🀣

sema ulivamia kambi wakakusweka kilingeni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mshana Jr shikamoo...

Nimekuwa nikisikia kuwa wewe ni mtaalamu wa nguvu za asili...

Leo nakusalimia tu 🀝
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Good morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Nimerudi salama boss tupo pamoja
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Karibu tena bhana
Kama kawa kama dawa..!πŸ‘ŒπŸΏ
Sijasoma kilichoandikwa ila karibu tena jukwaani Mlozi mwandamizi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Karibu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751
πŸ˜‚πŸ˜‚ nitakuja na Uzi wa amphibia
Sema tena jezi za Yanga zina laana
Sio laana tuu na gund
Tunaojua kusoma tabia za watu...

Aliyeandika hapa si mshana...

Kama ni yeye, lipo jambo.
Ni mimi mwenyewe kabisa
Karibu sana Mshana Jr jf ilikumiss
❀❀❀much loveπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Afadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
🀣

Sawa Karibu JF Tupo Tupo
Thanks brother
 
Wala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu.

Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.
Watu kama ninyi huwa nawachukia....ni shaba tuu hamna faida
 
Wewe ni mchepuko wa mleta mada? naona kama imekuuma sana,
Jibu swali kwanza kabla sijakujibu jibu nililoliandaa kwa ajili yako.
 
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tanganyika huru. Nilikuwa mapumziko ya likizo ndefu nimerejea tena jukwaani na hii ndio mada yangu ya kwanza.

Kwa sheria na kanuni za Kazi duniani kote kila mfanyakazi anastahili mapumziko ya likizo ya mwezi mmoja katika miezi 12 ya mwaka.

Hili ni takwa la kisheria ndio maana hata marais hustahili hii likizo na uma hutaarifiwa rasmi kuhusu mapumziko ya rais. Kuna baadhi ya watumishi hasa wanaopenda sana kutumia mitandao ya kijamii, hupenda kutoa taarifa kwa kila wafanyacho ikiwepo mapumzikoni likizoni.

Kama kipindi Hicho cha likizo hawajasafiri kwenda popote, kijijini ama nje ya nchi kulingana na ukwasi ni ngumu kuona mitupio na selfie za kutosha.

Lakini kama wametoka nje mbali na eneo la Kazi kuselfika na kutupia mapichapicha ni jambo lisilo epukika na kwakuwa siku hizi camera tunatembea nazo lazima ushawishike. Kuna kipindi wakati wa mapumziko ya likizo Hayati mwendazake alitupia mapichapicha akiwa kapumzika kwenye miamba na majabali.. Nadhani alikuwa anayapenda sana mawe ndio maana hata akajiita jiwe!

Likizo ni wakati wa kupumzisha mwili na akili lakini pia ni wakata wa ku 'refresh mind' kwa bata za hapa na pale.. Ni katika kipindi hiki lazima tu utashawishika kutupia matukio mitandaoni..! Hasa kwa wale addicted.

Ukiwa mapumziko ya likizo na ukajikataa kabisa kutoonekana popote hasa kama wewe ni mpenda sifa ni uthubutu wa hali ya juu mno na lazima jamii inayokujua vena ikushangae sana na kutengeneza mijadala mingi

Anaway likizo ya kisheria ni wiki nne! Zikiisha hizi hujarudi kibaruani ni aidha kati ya haya mawili

1. Kuzidisha tetesi
2. Breaking news

Bado tunahesabu siku.. Tuupe muda wakati.

Good morning Tanganyika.❀
Breaking news ndio inasubiriwa kwa hamu zaidi na Watu wengi
 
Wala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu.

Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.
Chief punguza ghadhabu hasa kwa haya maisha ya nadharia ya kimtandao.
 
Karibu tena bwashee. Watu walikuwa na hofu sana kwa kupotea kwako jukwaani!
 
Huu uz ni wew ulikuw lkzo au n mtu yupo lkzo inavyosemekn
 
Wala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu.

Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.
puguza stress... Fanya mazoezi ya viungo, jipe muda wa kupumzika lala masaa 7 walau kwa siku, kula chakula bora na si bora chakula, kunywa maji mengi yale safi na salama walau lrt mbili kwa siku hali hiyo itaondoka taratibu utakuwa safi kama umezaliwa upya!
 
Hapa anasemwa Makonda lakini povu linakutoka wewe, ajabu kwelikweli.
 
puguza stress... Fanya mazoezi ya viungo, jipe muda wa kupumzika lala masaa 7 walau kwa siku, kula chakula bora na si bora chakula, kunywa maji mengi yale safi na salama walau lrt mbili kwa siku hali hiyo itaondoka taratibu utakuwa safi kama umezaliwa upya!
Umeona ehheee, amekurupuka.
 
Wala hakuna aliyekua anajua kama ulikua likizo au hukua likizo zaidi ya hao chawa wako tu wanakuabudu,acha kujipa umuhimu usiokua nao,huna impact yeyote hapa zaidi ya kujaza server za JF kwa mada za kishirikina tu.

Umerudia kwenye zile zile mada zako za kufikirika,huna jipya.
Makamba mbona umepaniki hivi ?
 
Codes ulizotumia wachache watazigundua, anyway unapokuwa likizo usiruhusu kuacha tetezi Huku nyuma!! Ili likizo iwe ya amani
 
Anaway likizo ya kisheria ni wiki nne! Zikiisha hizi hujarudi kibaruani ni aidha kati ya haya mawili

Mzee baba kuna aina nyingi ya likizo hii umeitaja ni aina moja ambayo ni annual leave...

Nyingine ni SICK LEAVE, compassionate leave, maternity leave n.k
 
Good morning to you boss, uli miss ka sana.
Tunakukaribisha tena.
Nimerudi salama boss tupo pamoja
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Karibu tena bhana
Kama kawa kama dawa..!πŸ‘ŒπŸΏ
Sijasoma kilichoandikwa ila karibu tena jukwaani Mlozi mwandamizi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Karibu Tena ndugu mshana karibu kwenye kilinge cha waganga wa Simba SC club inabidi mfanye sana ulozi mwaka huu msiwe wa tatu kwenye ligi adios amigos @Cc ephen_ View attachment 3054751
πŸ˜‚πŸ˜‚ nitakuja na Uzi wa amphibia
Sema tena jezi za Yanga zina laana
Sio laana tuu na gund
Tunaojua kusoma tabia za watu...

Aliyeandika hapa si mshana...

Kama ni yeye, lipo jambo.
Ni mimi mwenyewe kabisa
Karibu sana Mshana Jr jf ilikumiss
❀❀❀much loveπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Afadhali nimekuona, nilidhani kutokuonekana kwako muda mrefu huenda ni mmojawapo wa member walioaga dunia kumbe uko hai. Safi sana, tupe madini yako tuliyoyakosa kwa kipindi upo mapumzikoni yametokea mengi
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
🀣

sema ulivamia kambi wakakusweka kilingeni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Karibu tena bwashee. Watu walikuwa na hofu sana kwa kupotea kwako jukwaani!
Nipo salama mkuu na nimepanda daraja baada ya kuhitimu na kufaulu kozi ya juu zaidi
Mzee baba kuna aina nyingi ya likizo hii umeitaja ni aina moja ambayo ni annual leave...

Nyingine ni SICK LEAVE, compassionate leave, maternity leave n.k
πŸ˜€ nimechagua 'the most common'
 
Back
Top Bottom