Likizo kwa wanafunzi iwe ni lazima

Likizo kwa wanafunzi iwe ni lazima

Joined
Jun 26, 2015
Posts
55
Reaction score
62
Kipindi cha likizo ni lazima mwanafunz aende likizo. akae mbali na darasa na akae karibu na nyumbani.

Akae mbali na waalimu, na karibu na wazazi au walezi.

Kutaka kuwapa masomo ya zaidi. Ni Tamaa ya fedha au kiashirio Cha uzembe wa walimu:

Uzembe kwa maana ya kushindwa kukutumia muda wa masomo VIZURI, mpaka kutaka kuutumia muda wa mapumziko.

Likizo ni lazima.
 
Mara nyingi tumekurupuka kufanya maamuzi pasipokutumia akili!

Kabla hamjapitisha hili, hakikisheni mmeboresha mazingira ya kujifunza na kufundisha! Kama unafikiri walimu wanaendesha program hizi kwa tamaa ya fedha waboresheeni maslahi yao mbona mmekuwa wachoyo, wenye roho mbaya na wabinafsi!! Nyie mnalipwa maposho kibao na hakuna mnalofanya la maana na mnaona ni sahihi! Walimu wakijaribu kuokoteza visenti kidogo mnajawa na wivu sijui kwa nini? Naomba ukumbuke wewe pia ni product ya walimu!

Boresheni mazingira!
 
Walimu

Mslahi muhimu waongezewe. Labda ndio sababu kubwa inayo wafanya waaweke masomo ya ziada na kulipisha.

Lakini kama mzazi, mruhuusu mwanao akae likizo. Nadhani itawashinikiza waalimu. Kupambania maslahia Yao kwa njia nyingine.

Kumbuka mm nasisitiza umuhimu wa likizo kwa mwanafunz.
 
Nyie mnalipwa maposho kibao na hakuna mnalofanya la maana na mnaona ni sahihi! Walimu wakijaribu kuokoteza visenti kidogo mnajawa na wivu sijui kwa nini? Naomba ukumbuke wewe pia ni product ya walimu!
kumbe ni kweli hii mambo ya kuweka watoto mashuleni kipindi cha likizo na baadhi ya shule mpaka Jumapili ni mradi wa walimu.
 
Tafadhari usiturudishe enzi za ujamaa binaadamu sio mnyama hapagiwi la kufanya.
Hapana siwapangii...ila kama umeamua kutumia neno "nawapangia" basi ungesema tupange.

Ukiishi kweny jamii ujipangii Kila kitu, Kuna vitu mnapanga kama jamii kwa pamoja.

Hili la likizo ni swala la kujipangia sio lazima.
 
Kuna mtoto amebakwa kisha kunyongwa hado kufa na kutupwa mtoni! Alikuwa anaenda "twisheni-masomo ya ziada" bila shaka ni baada ya wazazi kutoridhishwa na maendeleo yake huko shuleni! Boresheni mazingira, wapeni watoto vitabu, leteni walimu wabobevu, jengeni madarasa bora, msisahau vyoo! Walimu nao muwajali!
 
Kipindi Cha likizo ni lazima mwanafunz aende likizo. akae mbali na darasa na akae karibu na nyumbani.

Akae mbali na waalimu, na karibu na wazazi au walezi.

Kutaka kuwapa masomo ya zaidi. Ni Tamaa ya fedha au kiashirio Cha uzembe wa walimu:

Uzembe kwa maana ya kushindwa kukutumia muda wa masomo VIZURI, mpaka kutaka kuutumia muda wa mapumziko.

Likizo ni lazima.
Sawasawa 👍
 
kumbe ni kweli hii mambo ya kuweka watoto mashuleni kipindi cha likizo na baadhi ya shule mpaka Jumapili ni mradi wa walimu.
ikitokea shule imefelisha wanafunzi wengi walimu wanawekwa kitimoto sasa sijui mnataka wafanye nini, na wazazi wanapenda kuwapeleka wanafunzi shule zinazofaulisha sana.
 
Kuna mtoto amebakwa kisha kunyongwa hado kufa na kutupwa mtoni! Alikuwa anaenda "twisheni-masomo ya ziada" bila shaka ni baada ya wazazi kutoridhishwa na maendeleo yake huko shuleni! Boresheni mazingira, wapeni watoto vitabu, leteni walimu wabobevu, jengeni madarasa bora, msisahau vyoo! Walimu nao muwajali!
Inasikitisha sana. Kuhusu tuition Haina Shida. Mzazi mwenyewe ataamua kulingana na anavyoona maendeleo ya mwanae

Sema Dunia ishachafuka, tulinde watoto wetu sana. Sometimes ni ngumu kulinda mtoto. Kwasabab Kila utakachofikilia unaona ni hatari, lakini tunafanya anyway, huku tukiomba Mungu.
 
Mara nyingi tumekurupuka kufanya maamuzi pasipokutumia akili!

Kabla hamjapitisha hili, hakikisheni mmeboresha mazingira ya kujifunza na kufundisha! Kama unafikiri walimu wanaendesha program hizi kwa tamaa ya fedha waboresheeni maslahi yao mbona mmekuwa wachoyo, wenye roho mbaya na wabinafsi!! Nyie mnalipwa maposho kibao na hakuna mnalofanya la maana na mnaona ni sahihi! Walimu wakijaribu kuokoteza visenti kidogo mnajawa na wivu sijui kwa nini? Naomba ukumbuke wewe pia ni product ya walimu!

Boresheni mazingira!
Ni tamaa za walimu,Mimi mwenyewe mwalimu,shuleni kwangu walingangana sana watoto wabaki likizo hii,nikakataa kwa kusema kuwa mtoto anayohaki ya kupumzika baadae ya muda mrefu wa masomo,maticha wengi walinipinga kisa waliazimia kila mtoto atalipa sh 5000.

Mimi nilisema kama kweli ni ari ya walimu kufundisha basi tuwafundishe watoto bila kuwatoza hela,so hoja sio uzalendo wetu sisi walimu Bali kuwabakiza watoto imekuwa njia moja wapo ya kujiingizia kiipato .

Nashukuru serikali kwa kupiga marufuku hali hii.Nazidi kusema kuwa likizo iheshimiwe na watoto waheshimiwe pia.
 
Nchi jirani za zambia na malawi shike zikifungwa ni marufuku mtoto kubaki huko.

Hii nchi ya hovyooo hakuna kitu kipo sawa kila kitu kimeenda mrama
Mfumo wao wa elimu unawaruhu kufanya hivyo na lugha pia inawabeba sisi wa kiswaenglish ndo tunateseka.
6FBF5F82-9C0C-4CAF-A661-35DD86E1AD1E.jpeg
 
Back
Top Bottom