Ni tamaa za walimu,Mimi mwenyewe mwalimu,shuleni kwangu walingangana sana watoto wabaki likizo hii,nikakataa kwa kusema kuwa mtoto anayohaki ya kupumzika baadae ya muda mrefu wa masomo,maticha wengi walinipinga kisa waliazimia kila mtoto atalipa sh 5000.
Mimi nilisema kama kweli ni ari ya walimu kufundisha basi tuwafundishe watoto bila kuwatoza hela,so hoja sio uzalendo wetu sisi walimu Bali kuwabakiza watoto imekuwa njia moja wapo ya kujiingizia kiipato .
Nashukuru serikali kwa kupiga marufuku hali hii.Nazidi kusema kuwa likizo iheshimiwe na watoto waheshimiwe pia.