dir good beatus
Member
- Jun 26, 2015
- 55
- 62
WalimuMara nyingi tumekurupuka kufanya maamuzi pasipokutumia akili!
Kabla hamjapitisha hili, hakikisheni mmeboresha mazingira ya kujifunza na kufundisha! Kama unafikiri walimu wanaendesha program hizi kwa tamaa ya fedha waboresheeni maslahi yao mbona mmekuwa wachoyo, wenye roho mbaya na wabinafsi!! Nyie mnalipwa maposho kibao na hakuna mnalofanya la maana na mnaona ni sahihi! Walimu wakijaribu kuokoteza visenti kidogo mnajawa na wivu sijui kwa nini? Naomba ukumbuke wewe pia ni product ya walimu!
Boresheni mazingira!
Mslahi muhimu waongezewe. Labda ndio sababu kubwa inayo wafanya waaweke masomo ya ziada na kulipisha.Mara nyingi tumekurupuka kufanya maamuzi pasipokutumia akili!
Kabla hamjapitisha hili, hakikisheni mmeboresha mazingira ya kujifunza na kufundisha! Kama unafikiri walimu wanaendesha program hizi kwa tamaa ya fedha waboresheeni maslahi yao mbona mmekuwa wachoyo, wenye roho mbaya na wabinafsi!! Nyie mnalipwa maposho kibao na hakuna mnalofanya la maana na mnaona ni sahihi! Walimu wakijaribu kuokoteza visenti kidogo mnajawa na wivu sijui kwa nini? Naomba ukumbuke wewe pia ni product ya walimu!
Boresheni mazingira!
kumbe ni kweli hii mambo ya kuweka watoto mashuleni kipindi cha likizo na baadhi ya shule mpaka Jumapili ni mradi wa walimu.Nyie mnalipwa maposho kibao na hakuna mnalofanya la maana na mnaona ni sahihi! Walimu wakijaribu kuokoteza visenti kidogo mnajawa na wivu sijui kwa nini? Naomba ukumbuke wewe pia ni product ya walimu!
Hapana siwapangii...ila kama umeamua kutumia neno "nawapangia" basi ungesema tupange.Tafadhari usiturudishe enzi za ujamaa binaadamu sio mnyama hapagiwi la kufanya.
Sawasawa 👍Kipindi Cha likizo ni lazima mwanafunz aende likizo. akae mbali na darasa na akae karibu na nyumbani.
Akae mbali na waalimu, na karibu na wazazi au walezi.
Kutaka kuwapa masomo ya zaidi. Ni Tamaa ya fedha au kiashirio Cha uzembe wa walimu:
Uzembe kwa maana ya kushindwa kukutumia muda wa masomo VIZURI, mpaka kutaka kuutumia muda wa mapumziko.
Likizo ni lazima.
Hilo halipingiki, ni miradi yao! Wanafanya hivyo wapate hela! Hata ungekuwa wewe ungefanya hivyo!kumbe ni kweli hii mambo ya kuweka watoto mashuleni kipindi cha likizo na baadhi ya shule mpaka Jumapili ni mradi wa walimu.
ikitokea shule imefelisha wanafunzi wengi walimu wanawekwa kitimoto sasa sijui mnataka wafanye nini, na wazazi wanapenda kuwapeleka wanafunzi shule zinazofaulisha sana.kumbe ni kweli hii mambo ya kuweka watoto mashuleni kipindi cha likizo na baadhi ya shule mpaka Jumapili ni mradi wa walimu.
Inasikitisha sana. Kuhusu tuition Haina Shida. Mzazi mwenyewe ataamua kulingana na anavyoona maendeleo ya mwanaeKuna mtoto amebakwa kisha kunyongwa hado kufa na kutupwa mtoni! Alikuwa anaenda "twisheni-masomo ya ziada" bila shaka ni baada ya wazazi kutoridhishwa na maendeleo yake huko shuleni! Boresheni mazingira, wapeni watoto vitabu, leteni walimu wabobevu, jengeni madarasa bora, msisahau vyoo! Walimu nao muwajali!
Dah safi sana ..tuwaige hao.Nchi jirani za zambia na malawi shike zikifungwa ni marufuku mtoto kubaki huko.
Hii nchi ya hovyooo hakuna kitu kipo sawa kila kitu kimeenda mrama
Wote wote wawahi. Wakiume na wakike.Kweli kbsa hasa wanafunzi wakike wawahi kurudi likizo
Ni tamaa za walimu,Mimi mwenyewe mwalimu,shuleni kwangu walingangana sana watoto wabaki likizo hii,nikakataa kwa kusema kuwa mtoto anayohaki ya kupumzika baadae ya muda mrefu wa masomo,maticha wengi walinipinga kisa waliazimia kila mtoto atalipa sh 5000.Mara nyingi tumekurupuka kufanya maamuzi pasipokutumia akili!
Kabla hamjapitisha hili, hakikisheni mmeboresha mazingira ya kujifunza na kufundisha! Kama unafikiri walimu wanaendesha program hizi kwa tamaa ya fedha waboresheeni maslahi yao mbona mmekuwa wachoyo, wenye roho mbaya na wabinafsi!! Nyie mnalipwa maposho kibao na hakuna mnalofanya la maana na mnaona ni sahihi! Walimu wakijaribu kuokoteza visenti kidogo mnajawa na wivu sijui kwa nini? Naomba ukumbuke wewe pia ni product ya walimu!
Boresheni mazingira!
Tutafute namna ya kufaulisha ...lkn tusiwanyime watoto likizo.ikitokea shule imefelisha wanafunzi wengi walimu wanawekwa kitimoto sasa sijui mnataka wafanye nini, na wazazi wanapenda kuwapeleka wanafunzi shule zinazofaulisha sana.
Mfumo wao wa elimu unawaruhu kufanya hivyo na lugha pia inawabeba sisi wa kiswaenglish ndo tunateseka.Nchi jirani za zambia na malawi shike zikifungwa ni marufuku mtoto kubaki huko.
Hii nchi ya hovyooo hakuna kitu kipo sawa kila kitu kimeenda mrama