Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Tena analishwa na mjamaa! I think Kunyans should stop mixing ubepari na ujima! Kunyans r wajimas a reason can't afford to feed themselves!Cha ajabu zaidi mabepari mnapewa misaada ya chakula karne hii.
Mbona chakula mnapata pia toka Kenya? Si ndio Biashara. Pia sisi tuseme tunawalisha?Tena analishwa na mjamaa! I think Kunyans should stop mixing ubepari na ujima! Kunyans r wajimas a reason can't afford to feed themselves!
Tuletee idadi ya matajiri, middle class pamoja na mskini then ulinganishe na kenyaMbele ya tribalism, corruption, kupewa misaada ya chakula, tofauti kubwa kati ya wenyenacho na wasiokuwanacho,
UJamaa ni utu, ubepari ni unyama.
Chakula gani toka Kenya? Miraa na maua?Mbona chakula mnapata pia toka Kenya? Si ndio Biashara. Pia sisi tuseme tunawalisha?
Karibu nusu ya Kenya ni masikini.Tuletee idadi ya matajiri, middle class pamoja na mskini then ulinganishe na kenya
Bwahahaaa...umepanic[emoji23][emoji23][emoji23]leta hyo idadi jomba wacha manenoKaribu nusu ya kenya ni masikini.
Nipanic ovyo ili iweje.Bwahahaaa...umepanic[emoji23][emoji23][emoji23]leta hyo idadi jomba wacha maneno
Naona umeamua kukwepa mada[emoji122][emoji122][emoji122]siku nyngine unapoongelea hvyo vitu jipange kujibu hilo swaliNipanic ovyo ili iweje.
Naona umeamua kukwepa mada[emoji122][emoji122][emoji122]siku nyngine unapoongelea hvyo vitu jipange kujibu hilo swali
ninyi mtajinasua lini kutoka kwenye hili ziwa la umasikini? View attachment 1286280View attachment 1286281
Unajua samaki tokea Turkana huuzwa kwenye masoko ya DRC, UG na Tz?Chakula gani toka Kenya? Miraa na maua?
Kwani Mello ni mkenya?Forum yenu kivipi? Wewe na nani? Forum ya Maxence Mello imegeuka ikawa ya Watanzania wote. Maajabu ya Musa haya? Haya basi kama ni yenu munamiliki hisa kiasi gani kila mmoja katika JF?
Kwani Mali ya Melo ni yenu Watanzania? Akili kichwani.Kwani Mello ni mkenya?
Why should I eat samaki from hunger stricken Turkana! That's unethical! Gosh..God forbids!Unajua samaki tokea Turkana huuzwa kwenye masoko ya DRC, UG na Tz?
Why should I eat samaki from hunger stricken Turkana! That's unethical! Gosh..God forbids!
Huwa mnaandika ujinga siku zote! There is no way fish from Turkana can compete in a market of land of big water bodies!View attachment 1287698basi mwambie Mkulu apige marufuku biashara hii! But until then huyo samaki unamla labda katokea Turkana hii unayopenda kukejeli!
Poor Geza, It's funny how si ujinga wakati ni negative news lakini when the odds are against you...Huwa mnaandika ujinga siku zote! There is no way fish from Turkana can compete in a market of land of big water bodies!
Huwa mnaandika ujinga siku zote! There is no way fish from Turkana can compete in a market of land of big water bodies!