Likoni: Mombasa Gate Bridge: First Cable Stayed Bridge in Kenya & Longest in Africa

Likoni: Mombasa Gate Bridge: First Cable Stayed Bridge in Kenya & Longest in Africa

Daraja linajengwa mahala pana mito Tena mikubwa...it's common knowledge that Tz has more and bigger Rivers in Kenya. You can also brag of the same in Saudi Arabia but doesn't mean you're better off than them.
IS This what u have across Turkwel River? Middle income. ..

Then this happened

BTW how do u guys brag of superior infrastructure? Perfected the art of cooking data?
 
Hata Athi River Bridge pia? Naxvegas254

Nairobi-Mombasa-highway-re-opens-after-Athi-River-bridge-repair.jpg
 
It looks like all the financial instruments have been finalized & construction over the troubled Likoni channel is about to start.

View attachment 1285973

LIKKKONI by Rico Mwash, on Flickr

LIK3by Rico Mwash, on Flickr

Kila anayejenga kitu hupenda kuweka namba za kishindani hii ni ya 1 au ya ngapi Afrika na duniani.....Kwani malengo ni kutatua kero za watu au ni kushindana tu na kufuja pesa pasipokuwa na ulazima. Hata televisheni ya Zanzibar mwaka ule ilipoanzishwa tuliambiwa ndiyo pekee kwa Afrika leo nadhani ndiyo ya mwisho hata kwa Afrika Mashariki.
Hata lile daraja la Mfugale nalo lilipofunguliwa lilipewa nambari za kishabiki lakini sasa foleni imerudia tena.
Kwa ushabiki wa namna hiyo waarabu wamepoteza mapesa mengi sana na kila siku wanashindwa hata kujitetea na kutetea ndugu zao wa karibu. Mara utasikia keki ndefu zaidi duniani..mara jumba refu zaidi kote ulimwenguni. Ni ushetani tu.
 
Ila huwezi kujipa upofu na kusema la kwanza Africa na Internet ipo! Na Egypt na Nigeria wasemaje? Ni ujinga! Mfugale flyover hamna aliyesema ya kwanza Africa! Leta evidence! Ni kama ku-claim SGR Tanzania ya kwanza EA wakati wanayo tayari. Hatuna ujinga huo bara labda nyie wa visiwani! Kigongo-Busisi 3.2 km will be longest in EAC n 6th in Africa based on proven length of existing bridge structures! Facts remain facts!
 
From the model of that saloon car in front this foto looks old give us a link n i'll prove to u!
😂😂😂
 
Leta ya Marsabit! Arusha n Mwanza have 6 lanes roads! Dodoma ring over 100km is 6 lanes!
Wakenya yaaani nimedharau mno, hawana barabara nje ya Nairobi kabisa.

Sehemu zote madaraja yako ovyo ovyo utafirikiri ya muda.

Tanzania tuko mbali sana na kwa kweli haitahtajj kusema tena kuwa tumewaacha nyuma kila kitu kitajionesha chenyewe.

Yaaaani nawapa poleeee hao manyang'au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom