Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Basi Kama ni hivyo mtu imara akae nyuma ya camera na kazi make iwe kuandaa content tu ila kwenye utangazaji naona anazingua
 
Mbona kama umeumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule anafanya uchambuzi wa sports, yuko sahihi kabisa maana wachambuzi sio lazima wawe na vibe ya utangazaji cha msingi hoja yake iwe na Logic, pia yule hana mihemko kwenye uchambuzi wake.
Vibe ni lazima.
Watangazaji kama Ambangile na Kawambwa wakianza kuzungumza hadi unatamani wasimalize kwa namna wanavyo sherehesha hoja zao.

Momo akianza kigugumizi kingi hadi anaboa, akibishiwa hana uwezo wa kubisha kutokana na mwenzio ataongea maneno 100 yeye ana mawili tu, hakuna media inaweza kumuajiri hata kama angekuwa na masters ya journalism ila yupo pale kwa sababu.
 

Unamsikiliza Geof Lea pia? Yule jamaa ana kigugumizi kiaina kama momo tu sema hajionyeshi
 
Pesa ipo pale wana connection nyingi
 
Kibla..
Calypso humjui yule, she's multi talented presenter hawakumchukua kwa bahati mbaya.
Yani utangazaji wa Calypso ni mara mbili ya Aaliyah kuanzia experience hadi namna ya utamkaji maneno also fluent English ni mbaya sanaaa.
Sikupingi ✔️✔️✔️
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…