Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Mbona kama umeumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
sijaumia.. Ni kwamba bongo hamna innovation Nyanja nying So kweny media,music sishangai kuskia mwijaku mtangazaj mara stv Nyerer mpigaj wa rambi2 ,,mpira utaskia ndemla kaend yanga sijui hamis tambwe alkua simba kaend yanga, ajibu,,sijui gadiel michael katok yang kaend simba mara huwez chez nje na simb yanga huitw starz yaan alfa ulela tu Usishangae Nandy akitangaza pale Mawingu fm
 
Hiyo tunaita MACHI TALENTI
 
Kazi ya utangazaji haina ukomo wa umri tofauti na mpira sio mbaya kwa Lil ommy kufanya kazi nchini Kama anapata mpunga mrefu Cha msingi mashabiki acheni kupangia watu maisha.
 
Huyo Lil Ommy alikuwa Dj wa Radio gani hapa Bongo

One plus+
 
Reactions: Gef
Momo anachokifanya unakionaje? Hujawahi jiuliza why bado anaonekana tu
Kama hivyo ndivyo ilivyo Basi kila kipindi kitaanza kwa Moto halafu kitafulia Kama ilivyotokea kwa hiyo Block, kila kipindi cha magazeti cha kitenge na zembwela.... Ishu sio kuwa na watangazaji wenye majina swali Ni je wanaweza ku connect na wenzao?
 
Ninacho subiri kuona ni utofauti wa kipindi hiki na kile cha block 88.9 maana vyote havitakiwi kufanana maidhui labda kimoja kife! Kukitofautisha inawezekana kabisa na hapa ndio maana watu wana hitaji kuona maana halisi ya ubunifu kwa matendo sio maneno!

Maana wasafi wamekuwa wakilalamikiwa kwa coping and pasting hivyo vipindi hivyo vitatituthibitishia tofauti au vinaweza kuwa ushahidi wa tuhuma dhidi yao!

Mtu kama Jonijo na Calypso walitakiwa kuunganisha nguvu na Lily Ommy ili kutengeneza kipindi chenye nguvu zaidi pengine hata cha masaa manne kabisa!


Lakini sisi yetu ni maoni tuu kazi ni kwao watekelezaji sisi tutaona watachofanya kutegua huu mtego!


Jana sikuwasikia wana block 88.9 sijui nini kimewakuta lets wait na tuwape muda maana ukweli ni kwamba wana weza fanya vipindi vyote vikawa bora kabisa na vikawa tofauti kabisa na nina amini wanaweza fanikiwa kama wakitulia vyema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…