Lil Ommy siyo mjanja...Mshamba anaye brag brag tu..!

Chawa wa WCB wanatokwa na povu la OMO. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sina tatizo naye ila kuhusu full details unazomaanisha ni zile za nilikuwq nacheck account yako ya insta, tarehe 2/2 ilipost ...😂😂
 
Katika eneo la kuvaa nakuunga mkono huwa mara nyng sikuelewi utavaa vipi kapelo na shati la mikono mirefu then na raba simpo?
 
times unaifananisha na wasafi...?
Yan times ni bora kuliko wasafi...?
 
Wee kumeri una chuki sana na Arusha sijui watu wa huko walikufanya nini.
 
Lil ommy ni Interviewer ..sio presenter. ..kuwa presenter ...kunahitaji maujanja ujanja flan ambayo huyu mchizi wa mboka ...hana
 
Ila ni kweli jamaa n mkali wa interview tu,
Ila show zima anaboronga tu,
Tukajua atawafunika Xxl lakin hmna kitu ,

Afu anapend kuvaa kisukuma marangi rangi)
 
Lil ommy ni Interviewer ..sio presenter. ..kuwa presenter ...kunahitaji maujanja ujanja flan ambayo huyu mchizi wa mboka ...hana
Fair comment..

Interview anajitahidi kufanya research..
 
Alivyoenda pale nikajua xxl kwisha habari kabisa coz wanaoverlap mda kumbe hamna kitu.
Hii show yake isipokua na msanii wa interview siku hiyo bora uzime tu redio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…