Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

Jaribu hata kufikilia uwekwaji wa hilo daraja kama la manzess pale,
Oky hata wakiweka, kwa vibanda vingapi vitakavyo kaa pale?

Bora hata ungesema pakae kibanda cha wale Kaki🤣🤣🤣,
Mtu kavurugwa huko, akija ni One way.
Daraja hapo linakuwa limejengwa separately kila upande kwa ajili ya kuingilia pale ndani ya fensi.

Huwezi kwenda one way na kusababisha ajali kwasababu pale ni juu kama hatua moja.
 
Point yake kuu ni kuna wafanyabiashara wadogo kando ya barabara ambao hawaiingizii sirikali mapato!
 
Halifai ni eneo la barabara
Hii ni kanuni ambayo inaweza kuwekewa exception kwasababu hata sasa hivi wafanyabiashara wapo pale wanauza kwenye barabara katika mazingira hatarishi.
 
Wazo la kijinga zaid la kufungia mwaka
Kijana uruhusu ubongo wako uwe unawaza outside the box. Don't be too limited. Hizo kanuni zilizofanya akili yako iwe kifungoni namna hiyo zilitungwa na watu.
 
Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi.

Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga.

Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda safi sana na muwakodishie machinga. Nilipopita niliona wengi wanauza bidhaa pembeni ya barabara na serikali haipati mapato.
poor thinking
 
Wazo la huyu jamaa inaonyesha alivyo na mtindio wa ubongo aise harafu atakuwa anajiita msomi
Wewe ni matokeo ya brain washing ndio maana haushughulishi akili yako.
 
Unakuta huyu mtu yupo kwenye timu ya kotoa maamuzi yenye umuhimu sana kwa ajili ya familia, jamii na nchi kwa ujumla
Elimu ya kukariri inayotolewa mashuleni imeharibu kabisa uwezo wako wa kufikiri.
 
Kijana uruhusu ubongo wako uwe unawaza outside the box. Don't be too limited. Hizo kanuni zilizofanya akili yako iwe kifungoni namna hiyo zilitungwa na watu.
Huo ni mtizamo wako Chief. Lakin kwa mazingira ya kawaida haiwezekani. Nilitegemea uje na idea za namna ya kuwafanya vijana wajiajir bila kuwafanya Machinga.
 
Huo ni mtizamo wako Chief. Lakin kwa mazingira ya kawaida haiwezekani. Nilitegemea uje na idea za namna ya kuwafanya vijana wajiajir bila kuwafanya Machinga.
Sio kila mtu analo jukumu la kutoa suluhisho la kila tatizo. Mimi nimeongelea tatizo lililopo sasa na suluhisho lake.

Angekuja mchina au mzungu akaweka vibanda quality pale vinavyotoa huduma mngeanza kumsifia.
 
Allow your brain to think beyond human rules.
nenda ukasome sheria ya barabara wewe acha kupayuka kama vile huna ubongo. Chini ya flyover uweke soko la machinga, huku gari zinapishana na ku-turn around pale chini, na si gari ndogo kuna malori heavy duties yanayotoka bandarini na kwenda mikoani na nchi jirani and vice versa, nini kitatokea? au ndiyo mara ya kwanza umepita hapo flyover usiku magari yamepungua? kisha unalipuka kusema "allow your brain to think beyond your human rules?"

if you could think not only beyond human rules , by utilizing your common sense below 3% you would have realised that your proposal is absolute insanity. Next time jaribu kushughulisha ubongo wako.

No place in the world has applied your insane idea labda iko kijijini kwenu
 
Nina mashaka kama unaifahamu hiyo sehemu ninayoiongelea. Pita pale uangalie ile fensi ndio urudi kuweka komenti.
if you could think not only beyond human rules , by utilizing your common sense below 3% you would have realised that your proposal is absolute insanity. Next time jaribu kushughulisha ubongo wako.
Wewe hapa unapigania aina ya mawazo mgando uliyowekewa tangu umezaliwa.
No place in the world has applied your insane idea labda iko kijijini kwenu
Hapa umethibitisha kile nimekisema juu ya wote wanaopinga. Hamna akili ya kuanzisha vitu vipya mpaka muone mzungu kafanya. Ni utumwa m-baya sana uliowekwa akilini mwako tangu enzi za ukoloni na ukaendelezwa kupitia elimu ya kipuuzi ya darasani.
 
Sio kila mtu analo jukumu la kutoa suluhisho la kila tatizo. Mimi nimeongelea tatizo lililopo sasa na suluhisho lake.

Angekuja mchina au mzungu akaweka vibanda quality pale vinavyotoa huduma mngeanza kumsifia.
Wewe unajua displin ya machinga mkuu. Unawezaje kuwacontrol wakae mahali pamoja cku pakiwa hot. Na kwanini unahic watu wanatakiwa wawe machinga ili watoke.
 
Kuna baadhi ya madaraja mengi yana hizo activities inshu ni huo usalama wa hao raia ktk maeneo hayo
Screenshot_20221216-180739.jpg
 
Nimepita muda huu naona limekuwa zizi la Mbuzi....mbuzi wamelala tu hapo
 
Back
Top Bottom