Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

Kuna siku lori lilianguka toka juu lingeponda wangapi, unataka msiba wa taifa.
 
Pale ni chimbo la mateja na mabaharia waliongia mjini kusaka maisha wasio na pa kulala
 
Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi.

Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga.

Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda safi sana na muwakodishie machinga. Nilipopita niliona wengi wanauza bidhaa pembeni ya barabara na serikali haipati mapato.
Kichwa cha familia
 
Anoher brain tempered
 
Ingewezekana kuwa hivyo kama kwenye "Design" ya ujenzi wa daraja wangezingatia uwepo wa vibanda vya biashara. Kwa sasa kuweka vibanda pale ni uchafu na kwa tabia zetu wabongo watapanga bidhaa nje ya vibanda hadi barabarani.
Utaratibu wa namna hiyo uko kwenye baadhi ya nchi, ambapo "Viosk" vya biashara ndogo ndogo hupangwa pamoja na huduma muhimu ya vyoo.

Hapa chini ni mfano wa "Roundabout" moja ambayo chini wameweka vibanda vya biashara wakati barabara ziko juu.... mbele zinaonekana ngazi za kutokea.👇
👇👇👇
 
Attachments

  • Kiosk.jpg
    Kiosk.jpg
    117.6 KB · Views: 1

Asante sana mkuu kwa kuleta changamoto na namna wenzetu wamefanya. Ukiangalia hata maduka kule posta na kariakoo yapo karibu sana na barabara. Wangeweza kufanya ubunifu na pale pangeweza kupendeza na kuingiza mapato.

Bahati mbaya wachangiaji wengi hapa wameleta matusi, kejeli na dharau kwasababu akili zao zimeshawekewa mipaka wamebakia kufuatisha chochote kinacholetwa na mzungu.
 
Jicho lako la kuona fursa ni moja ya tunu ambayo wengi hawana, lakini kwa uzi huu kuna uwezekano wa kuwaamsha wasomi wetu waliosomea ubunifu majenzi ili waamke kutoka kwenye usingizi wa pono ili kuisaidia nchi kubuni majengo imara lakini yanayovutia.
Wazo lako ni zuri sana na lilipaswa kudakwa na watu wa mipango miji ili litumike sehemu nyingine. tatizo letu watanzania wengi hatutoki nje ya mipaka ya Tanzania angalau kuona wengine wanafanya nini. Sishangai sana kuona mtu akibeza kwa sababu labda hajawahi kuonja mapishi mengine.
 
Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi.

Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga.

Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda safi sana na muwakodishie machinga. Nilipopita niliona wengi wanauza bidhaa pembeni ya barabara na serikali haipati mapato.
Chi niinhi
 
Ukute umezaliwa itigi maporini huko ukaenda secondary Namtumbo.

Halafu chuo kikuu ukaja udsm na KAZI yako ya Kwanza ukapangiwa Dodoma wizarani.

Sishangai haya ndio maamuzi na mawazo ya msomi wetu kutoka chuo kikuu cha udsm.

Muwe mnatembea hata hapo Nairobi uone matumizi sahihi ya hizo fly over ng'ombe wewe! Bora wazazi wako wangesomesha ng'ombe mnyama wangekuwa wanauza maziwa ya mtindi na kujiingizia kipato cha uzeeni.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom