Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

Ukute umezaliwa itigi maporini huko ukaenda secondary Namtumbo.

Halafu chuo kikuu ukaja udsm na KAZI yako ya Kwanza ukapangiwa Dodoma wizarani.

Sishangai haya ndio maamuzi na mawazo ya msomi wetu kutoka chuo kikuu cha udsm.

Muwe mnatembea hata hapo Nairobi uone matumizi sahihi ya hizo fly over ng'ombe wewe! Bora wazazi wako wangesomesha ng'ombe mnyama wangekuwa wanauza maziwa ya mtindi na kujiingizia kipato cha uzeeni.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ng'ombe ni wewe uliyekata kamba na kuiba simu ya anayekuchunga ili utoe povu hapa.
 
Chini ya flyover ya kijazi
1671222071849.png

Flyover ya OkoBaba Lagos Nigeria iliharibiwa vibaya na moto mkubwa uliounguza maduka yaliyokuwa yamejengwa chini ya flyover na kusanabisha nyufa ktk flyover, daraja hivyo kuhatarisha usalama na kuiingiza serikali gharama kubwa kukarabati tena daraja hilo maarufu jijini Lagos nchini Nigeria

View attachment 2449397

Zote ni assessment zinatakiwa kufanywa kabla ya kujenga daraja litakalotumika kwa matumizi kama ya masoko chini yake. Hivyo mkipima mkaona risk ni kubwa mnaachana nayo
 
Back
Top Bottom