Daraja hapo linakuwa limejengwa separately kila upande kwa ajili ya kuingilia pale ndani ya fensi.Jaribu hata kufikilia uwekwaji wa hilo daraja kama la manzess pale,
Oky hata wakiweka, kwa vibanda vingapi vitakavyo kaa pale?
Bora hata ungesema pakae kibanda cha wale Kaki🤣🤣🤣,
Mtu kavurugwa huko, akija ni One way.
poor thinkingNimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi.
Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga.
Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda safi sana na muwakodishie machinga. Nilipopita niliona wengi wanauza bidhaa pembeni ya barabara na serikali haipati mapato.
Huo ni mtizamo wako Chief. Lakin kwa mazingira ya kawaida haiwezekani. Nilitegemea uje na idea za namna ya kuwafanya vijana wajiajir bila kuwafanya Machinga.Kijana uruhusu ubongo wako uwe unawaza outside the box. Don't be too limited. Hizo kanuni zilizofanya akili yako iwe kifungoni namna hiyo zilitungwa na watu.
Sio kila mtu analo jukumu la kutoa suluhisho la kila tatizo. Mimi nimeongelea tatizo lililopo sasa na suluhisho lake.Huo ni mtizamo wako Chief. Lakin kwa mazingira ya kawaida haiwezekani. Nilitegemea uje na idea za namna ya kuwafanya vijana wajiajir bila kuwafanya Machinga.
nenda ukasome sheria ya barabara wewe acha kupayuka kama vile huna ubongo. Chini ya flyover uweke soko la machinga, huku gari zinapishana na ku-turn around pale chini, na si gari ndogo kuna malori heavy duties yanayotoka bandarini na kwenda mikoani na nchi jirani and vice versa, nini kitatokea? au ndiyo mara ya kwanza umepita hapo flyover usiku magari yamepungua? kisha unalipuka kusema "allow your brain to think beyond your human rules?"Allow your brain to think beyond human rules.
Nina mashaka kama unaifahamu hiyo sehemu ninayoiongelea. Pita pale uangalie ile fensi ndio urudi kuweka komenti.nenda ukasome sheria ya barabara wewe acha kupayuka kama vile huna ubongo. Chini ya flyover uweke soko la machinga, huku gari zinapishana na ku-turn around pale chini, na si gari ndogo kuna malori heavy duties yanayotoka bandarini na kwenda mikoani na nchi jirani and vice versa, nini kitatokea? au ndiyo mara ya kwanza umepita hapo flyover usiku magari yamepungua? kisha unalipuka kusema "allow your brain to think beyond your human rules?"
Wewe hapa unapigania aina ya mawazo mgando uliyowekewa tangu umezaliwa.if you could think not only beyond human rules , by utilizing your common sense below 3% you would have realised that your proposal is absolute insanity. Next time jaribu kushughulisha ubongo wako.
Hapa umethibitisha kile nimekisema juu ya wote wanaopinga. Hamna akili ya kuanzisha vitu vipya mpaka muone mzungu kafanya. Ni utumwa m-baya sana uliowekwa akilini mwako tangu enzi za ukoloni na ukaendelezwa kupitia elimu ya kipuuzi ya darasani.No place in the world has applied your insane idea labda iko kijijini kwenu
Wewe unajua displin ya machinga mkuu. Unawezaje kuwacontrol wakae mahali pamoja cku pakiwa hot. Na kwanini unahic watu wanatakiwa wawe machinga ili watoke.Sio kila mtu analo jukumu la kutoa suluhisho la kila tatizo. Mimi nimeongelea tatizo lililopo sasa na suluhisho lake.
Angekuja mchina au mzungu akaweka vibanda quality pale vinavyotoa huduma mngeanza kumsifia.