Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

Ng'ombe ni wewe uliyekata kamba na kuiba simu ya anayekuchunga ili utoe povu hapa.
 
Chini ya flyover ya kijazi

Flyover ya OkoBaba Lagos Nigeria iliharibiwa vibaya na moto mkubwa uliounguza maduka yaliyokuwa yamejengwa chini ya flyover na kusanabisha nyufa ktk flyover, daraja hivyo kuhatarisha usalama na kuiingiza serikali gharama kubwa kukarabati tena daraja hilo maarufu jijini Lagos nchini Nigeria

 
Zote ni assessment zinatakiwa kufanywa kabla ya kujenga daraja litakalotumika kwa matumizi kama ya masoko chini yake. Hivyo mkipima mkaona risk ni kubwa mnaachana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…