Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

Wanawake wana uwezo mkubwa kwa kuwapima na wanaume wasio na akili tu maana kwa kifupi tu asilimia 99 ya wanawake awana akili yoyote ya maana kichwani ...hivyo hiyo asilimia 1% tu ndiyo inayo weza kushindanishwa na wanaume tena wanaume wasio na akili
 
Huwezi kuligegeda fupa jifunze kiswahili. Hapo ilitakiwa useme Kaling'ong'ona fupa...
 
Kuhusu miswaada kuwa mvumilivu,unaweza kuletewa mbuzi kwenye gunia,hii ni CCM bwana,kila kitu kinaweza kuwa magumashi.

Kuhusu kusifia sana utendaji wa Samia na dhana ya viongozi wanawake or 50-50,wewe inaelekea unatumiwa na Lucifer,hujitambui.Kama ungekuwa na akili zako original ambazo Mungu alikuumbia, usingeandika upupu huu,what you are doing here is perpetuating Satan's Women Pride.

Sitamung'unya maneno Paschal,zipo kazi za wanaume na za wanawake,ndio mpango wa Mungu na mwanamme ndiye Mungu aliyemuumba kuwa kiongozi popote kuanzia kwenye familia.Hivi hata maumbile ya mwanamke hayawaonyeshi kwamba tupo tofauti na mwanamke anastahili kazi nyepesi tofauti na mwanaume!?Ujinga wa Wanadamu na uasi wao dhidi ya Mungu,ndio uliotufikisha hapa,it is complete lunacy,stupid and idiotic.Eti 50-50!

Huu ulioandika hapa ni mpango na matamanio ya Lucifer Paschal,na kwa haya uliyoandika hpa, it clearly indicates either una akili ndogo sana,unatumiwa na Lucifer kusambaza mawazo yake haya ya hovyo ya "Women Pride" au your power of discernment is extremely low,pole sana.

Labda nimalizie kwa kusema hivi,humanity has become foolish,lunatic and stupid and undescerning,so we as individuals must be extremely knowledgeable, so so that we are not carried away by the thinking of this lunatic,stupid and idiotic World.

Listen to the following clip,labda utanielewa kwa sehemu Paschal.Samahani,ila hasira ya Mungu inanila,sivumilii watu wanaomsaidia Shetani kazi zake.

 


Nenda katafute ajira uko na njaa zako, teuzi, kamwe hutapata, acha uvivu.

Paschal, huu mda wote unaandika huku si ungeandika article competent hata kwenye media za nje Kuhusu changamoto za Africa?

Change your stupidy mindset and get better...
 
Huko kwingine ulikuwa unapoteza muda wako bure
 
Kweli tupu
 
Mtani,Rais Magufuri hakukosea kukuita Njaa,una njaa sana ya kuteuliwa lakini sifa ya u puppet inakuharibia.
 
Kama CCM wasingemtisha mzee Kikwete dakika za mwisho, leo hii tungeshakuwa na Katiba bora kabisa ambayo imeshirikisha watanzania wote.

Ni kwanzo mzuri kwake kwenye suala hili kama kweli sheria hizo zina nia njema kwa Taifa letu.
 
Rais Samia apewe maua yake kwa hili (political will).
Hata hivyo, kuwepo kwa sheria (maandishi) ni jambo moja na utekelezaji (watu) ni jingine.
Jambo muhimu zaidi ni uadilifu wa watu baada ya sheria hizo kurekebishwa.
 
Na shida yenu kubwa watanzania ni kuamini watu aina ya Pasco wana akili ndio maana mnapata disappointment!!
 
Mimi naamini samia ametaka tu kujipatia sifa wakati sheria zinasimamia mambo yote hayo hazikua wala na upungufu mkubwa. Naamini wale wa kushinda uchaguzi wataendelea kushinda na wale wa kushindwa wataendelea kushindwa. Wala kusiwe na mtu akafikiri alikua anashindwa kutokana na sheria. Binafsi naamini watu ndio tatizo wala haikua sheria zetu. Wezi wa kura hata kwa sheria ipi wataendelea kuwepo japo binafsi siamini ni jambo liliweza kupatia chama au ushindi kwa mgombea urais. Kwa upande wangu naona mabadiliko muhimu ni lile la rais kupatikana kwa ushindi wa asilimia zaidi ya 50. Natumaini liwepo kwenye haya mabadiliko.
 
Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati

Hapa ndipo Mwafrika anafeli!

Logic kichwani hana, upeo mdogo, toka utotoni hatujafundishwa kufikiri kwa kutumia LOGIC !

Muswada unasema hujauona, utasemaje tupongeze kilichomo ndani we mzee meat head ??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…