Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

Mungu mwenyezi wa rehema umuangazie roho yake apumzike kwa amani.

Tulikupenda, tunakupenda, tutakupenda daima kiongozi wetu mwema.

Magufuli falsafa zako nitaziishi na kuzitangaza popote na siku zote. Amina
 
Duh!!! Utadhani alikuwa mtakatifu fulani hivi kumbe dhalimu mkubwa sana aliyeharibu maisha ya mamilioni ya Watanzania.
Hao wanafiki hapo walinufaika nae Ila kwawata zania walio wengi wanatamani hapo lipite hata tetemeko la ardhi limfukue huyo shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…