Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

Mzalendo haibii nchi yake 2.7 trillions Mkuu. Hapotezi raia Kwa kuwaua, hasemi uongo kuhusu mambo mbali mbali muhimu ya nchi. Hafanyi udikteta na udhalimu dhidi ya Watanzania.

EF878484-4D20-4F80-B111-E2A2485EE3A7.jpeg


Ukiondoa ubabe na sometimes UKATILI wake uliopitiliza.
Ila jamaa alkua Ni bonge la mzalendo.

Kiukweli,
Aliipenda sana Tanzania kuliko alivyoipenda nafsi yake mwenyewe.
 
Mungu mwenyezi wa rehema umuangazie roho yake apumzike kwa amani.

Tulikupenda, tunakupenda, tutakupenda daima kiongozi wetu mwema.

Magufuli falsafa zako nitaziishi na kuzitangaza popote na siku zote. Amina
Ungekuwa unamuabudu Mungu hivi ungeenda mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Haki yake ipi wewe!? Ya kubambikia watu kesi kisha kuwafunga, kuwaua au kuwapora mabilioni yao!?

😳😳



Hakua na nia hiyo km unavyofikiria na pia amewasaidia wengi.
MNYONGE MNYONGENI NA HAKI YAKE MPENI
 
Mwizi, Fisadi, muongo, mzinzi na pia muuaji wa Watanzania wengi tu ambao hawakuwa ná hatia yoyote ile pia kawapora Watanzania wengi sana pesa zao. Hana zuri lolote yule dhalimu. Unadhani kwanini mkewe alikataa kumfanyia Kampeni ya Urais 2015 hadi alipobembelezwa na Mkapa na Mama Maria!?

Kweli kabisa BAK haya atayakataa kuna watu wanaangalia upande mmoja
 
Ndio pamesha jengwa kama inauma jichomeni moto.
Yule ndio kiongozi halisi wa Tanzania vizazi na vizazi vitamkumbuka mwamba wa Tanzania
Ni haki yao kama walivyoamua kujenga lakini hiyo hainizuii kutoa maoni yangu sasa kama hujafurahishwa pole sana.
 
Back
Top Bottom