Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

Ccm msituletee tena wagonjwa wauwe watu wateke kumbe hasira wanajua wanakufa mudawowote

Isijirudie
 
Duh!!! Utadhani alikuwa mtakatifu fulani hivi kumbe dhalimu mkubwa sana aliyeharibu maisha ya mamilioni ya Watanzania.
Taahi.ra mkubwa wewe, wapumliwa visogoni nyie ndo mwajiita mamilioni ya watanzania enh? aliwatuma muuze ngada? aliwazuia kusoma mpate vyeti halali? dawa yenu iko jikoni.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mungu mwenyezi wa rehema umuangazie roho yake apumzike kwa amani.

Tulikupenda, tunakupenda, tutakupenda daima kiongozi wetu mwema.

Magufuli falsafa zako nitaziishi na kuzitangaza popote na siku zote. Amina
Falsafa zipi!?
 
..
20211013_183435.jpg
 
Back
Top Bottom