Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 715
- 1,004
Mkuu nimekupa "like"...umeandika kwa kifupi sana na ndio ukweli wenyeweUkiondoa ubabe na sometimes UKATILI wake uliopitiliza.
Ila jamaa alkua Ni bonge la mzalendo.
Kiukweli,
Aliipenda sana Tanzania kuliko alivyoipenda nafsi yake mwenyewe.