Mama bhana..Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.
Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Rais wa TFF Kolomije?Nasubiri kusikia zile porojo za Makonda eti anafaa kuwa Rais, 2030!
Huyo kikubwa karudi kwenye system.......namba haijalishi ni ipi atachezaMama bhana..
Kachezea akili za Sukumagang kwa muda mfupi sana. Akawasoma kirahisi na kuwatendea miujiza...
Tukiwaambia chama kina wenyewe wanatuona machizi
Asuburie Nape achukue mikoba yake. Komredi Kinana anamsubiria kijana wake kwa hamu sanaHuyo kikubwa karudi kwenye system.......namba haijalishi ni ipi atacheza
Aliyekuwa anasema hayo ya Urais wa Makonda ni Lucas mwashambwaNasubiri kusikia zile porojo za Makonda eti anafaa kuwa Rais, 2030!
Kikubwa password zilizohitajika zimepatikana, wapeane hata urais ila rimoti ipo sehem sahihi kwa sasaAsuburie Nape achukue mikoba yake. Komredi Kinana anamsubiria kijana wake kwa hamu sana
Tumenuna tunajipanga kumwangusha yoyote anayetudharau na kutudhalilisha.Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.
Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Kapelekwa akapambane na kina Lema huko. Huku mjini wajanja washachukua chama chao.Kikubwa password zilizohitajika zimepatikana, wapeane hata urais ila rimoti ipo sehem sahihi kwa sasa
Na walijisahau kumuweka kwenye kile cheo,,, kilichohitajika kimepatikana 2025 patasomekaTumenuna tunajipanga kumwangusha yoyote anayetudharau na kutudhalilisha.
Tumejiapiza safari tutalipa kisasi sisi tuko wengi kuanzia Mwanza,Geita,Shinyanga & Tabora ni sisi tu.Hatukubali kuonewa tena na vijikabila vidogo vidogo ambavyo hajai hata Wilaya ya Kwimba.
Ni zamu yetu tumeshaonja mema ya nchi,hakuna wa kututisha tena.
Wa mjini washapewa za uso kikubwa 2025 kwa sasa,,, huko kaskazini ni kwenda kusafisha vinega kwa sasaKapelekwa akapambane na kina Lema huko. Huku mjini wajanja washachukua chama chao.
Hata Upendo Peneza aliahidiwa kuwa atapewa nafasi ya kugombea Jimbo na hata akishindwa atapitishwa viti maalumu. Peneza akavua gwanda fasta na kuvaa gamba.Kuna wale wabunge kama Kalemani, aliwaahidi kuwapigania waupate tena, ni msiba mkubwa kwa kweli
Tume mtu itamtangaza hata akipata kura moja ya mumewe tuTumenuna tunajipanga kumwangusha yoyote anayetudharau na kutudhalilisha
Shida sio chaguzi za nje ,kivumbi kipo ndaniTume mtu itamtangaza hata akipata kura moja ya mumewe tu