Lile kundi lililokuwa linafurahia uteuzi na utendaji wa Makonda ktk nafasi ya uenezi, linasemaje baada ya utenguzi?

Nasubiri kusikia zile porojo za Makonda eti anafaa kuwa Rais, 2030!
Kwa ujinga wa baadhi ya wapiga kura, Makonda angeachwa aendelee kuzunguuka nchi, angegombea urais na kura zikahesabiwa kihalali angechukua nchi. Unajua makonda Ni Kama Mrema, not presidential material lkn walalahoi wanamuona mkombozi baada ya kuchoka na wezi.
Sasa wamemtoa pale juu, kwenye tengua ijayo atatenguliwa msiwe na hofu.
Wenzake ndani ya CCM hawakufurahia ziara zake na kumpa Kaka mkuu maagizo.
Halafu hili la Salaah. Makonda hajui kwamba Salaa na msoga Ni damdam. Amesahau kwamba mzee bado ana influence.
 
Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.

Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Washaufyata
 
Wa mjini washapewa za uso kikubwa 2025 kwa sasa,,, huko kaskazini ni kwenda kusafisha vinega kwa sasa
Kaskazini haijawahi kuwa CCM kivile. Tatizo Sukumagang ambako ndo walipata mkombozi wao ambae Mungu akampenda zaidi. Wakajua mwana wa mkombozi kapatikana. Wajanja wenye chama chao wameamua kumpeleka huko akapambane na wapinzani... Huku wao wakijipanga kuendelea kukamata dola...

CCM haijawahi kupenda kuongozwa na "Washamba" . Walifanya kosa mara moja, hawatarudia tena.
 
"BWANA asema hivi,
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu,
Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake
Na moyoni mwake amemwacha BWANA."

Mwisho wa Kunukuu.
 
Usisahau komredi Kinana yuko pembeni ya mama...
Hakuna madhara.........gap mlipojisahau ni kumpa uenezi tu,,,siri ya kambi imeshaeleweka hata hapo pembeni ya mama awepo Aziz ki ,rimoti haina betri
 
Kaskazini haijawahi kuwa CCM kivile. Tatizo Sukumagang ambako ndo walipata mkombozi wao ambae Mungu akampenda zaidi. Wakajua mwana wa mkombozi kapatikana. Wajanja wenye chama chao wameamua kumpeleka huko akapambane na wapinzani... Huku wao wakijipanga kuendelea kukamata dola...

CCM haijawahi kupenda kuongozwa na "Washamba" . Walifanya kosa mara moja, hawatarudia tena.
As above so below,,,,Kusini kazi kwisha sasa kaskazini mtaelewa tu ,,kimya kimya
 
Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.

Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Lucas Mwashambwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji6]
 
Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.

Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Komredi LUKASI MWASHAMBA yuko ICU anapumulia mashine na katundikwa mipira, tumuombee
 
As above so below,,,,Kusini kazi kwisha sasa kaskazini mtaelewa tu ,,kimya kimya
Kusini haijawahi kutoka CCM. Kusini ni "washamba" kama sukumagang... Na Usukumani hivi sasa wanaimba "Nani kama Mama" Kashakitumia lijinga limoja limeshamtafutia njia. Sasa anakirudisha chama "nyumbani"

Kazi iendelee.... tukutane 2025. Fomu ni moja tu....
 
Alikuwa analazimisha kumfunika Katibu Mkuu wake.
Alikuwa anatoa matamko ambayo hajatumwa na vikao vya chama kama ilivyo kawaida ili kujijenga binafsi.
Ilikuwa dhahiri atatenguliwa.
 
Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.

Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Bado tunaendelea kumuombea uzima Ana afya. Makonda ni mtendaji na hana siasa siasa.
 
Back
Top Bottom